HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Wednesday, January 7, 2009
Leo Rais mtarajiwa alikula chakula cha mchana na Maraisi wanne, George W. H. Bush, George W. Bush, Bill Clinton na Jimmy Carter pale (Oval Office, White House). Hii safi sana!!!
No comments:
Post a Comment