Jiji la New York ni moja kati ya miji mikubwa na maarufu sana duniani. Kwa siku upata wageni karibu millioni tatu toka nje na ndani ya Marekani, wanaokuja kwa madhumuni ya kutalii na kusaidia sana kuendeleza na kukuza uchumi wa Jiji hili. Jiji hili lina mchanganyiko wa watu mbalimbali toka kila pande za dunia na hivyo kulifanya kuwa mahali pa pekee sana.
No comments:
Post a Comment