Wednesday, January 7, 2009

Dar es Salaam inavyoonekana toka angani.

1 comment:

  1. Hapa pana mchanganyiko wa furaha na huzuni. Maana naona majengo yanajengwa lakini sina hakika kama yote yako kwenye ramani husika hasa yajengwayo nje ya mji. Naogopa saana mipango yetu ya kutoangalia mbali ambayo nahisi inaweza kuja kutusababishia bomoa bomoa nyingine miaka kadhaa ijayo. Labda twahitaji mtu atakayeweza kueleza na kubainisha ramani ya jiji ilivyo ili sehemu zianze kupangwa kama zinavyostahili ili kuepusha uharibifu wa baadae.

    ReplyDelete