HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Saturday, January 3, 2009
Napenda kuwashukuru kwa wote mnaofuatilia blogu hii na ningependa kuwaomba msichoke bali tuzidi kuwa pamoja. Blogu hii iko wazi kwa kila mtu kuchangia alichonacho ambacho hakitavuka mipaka kuingia kwenye kutumia lugha chafu au kuvunjiana heshima.
No comments:
Post a Comment