Showing posts with label Fundi. Show all posts
Showing posts with label Fundi. Show all posts

Saturday, January 3, 2009

Napenda kuwashukuru kwa wote mnaofuatilia blogu hii na ningependa kuwaomba msichoke bali tuzidi kuwa pamoja. Blogu hii iko wazi kwa kila mtu kuchangia alichonacho ambacho hakitavuka mipaka kuingia kwenye kutumia lugha chafu au kuvunjiana heshima.
Akhasanteni!!

Saturday, November 1, 2008

Hapa nakula mapozi na (SVP Director of Stores Long Island Region) Ms. Sunny Woo, wakati wa chakula cha mchana chakutupongeza mimi na wenzangu kwa kuwa 12 bora.
Nikila mapozi na Mameneja wenzangu wa kanda ya Kisiwa Kirefu(Long Island) baada ya kutunikiwa shahada ya kuwa mameneja bora kwa kipindi cha Spring.

Thursday, October 23, 2008

Naonekana nikiteta jambo fulani.... harusini Dar 2007.
Tunapokea vyeti toka kwa SVP of Executive Development Macy's East, baada ya kuhitimu mafunzo ya (Management Development Program).

Saturday, September 27, 2008



Nikipokea Nondozz, St. John's University, New York.

Thursday, September 18, 2008
























Nikitoa nasaa kwa maharusi kwamba wanapaswa kuzingatia vitu vitatu muhimu:
1. Amani 2. Upendo 3. Uvumilivu

Tuesday, September 16, 2008


Nikiwa na Director of Executive Management Training for Macy's East.

Sunday, September 14, 2008















Wengi waliniambia madevu yalinipendeza zaidi, lakini wengine waliniita Osama.