HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, January 12, 2009
Pamoja na faida nyingine nyingi za miti, lakini pia upendezesha sana miji. Picha hapo juu zinaonyesha jinsi Dar ilivyo kijani siku hizi.
No comments:
Post a Comment