Tuesday, January 6, 2009

Zikiwa zimebakia siku chache kwa bwana Obama kuapishwa kuwa Rais, leo alikuwa na kikao na mawaziri wake watarajiwa pamoja na washauri wengine katika malengo ya kujiandaa kushika madaraka na kuweka mambo sawa. Kuna kila shauku toka kila pande za nchi na dunia kwa ujumla kwa jamaa na kundi lake kuanza kazi. Wadau Bongo tungependa sana kusikia maoni na matarajio yenu kuhusu uongozi unaoingia!!

No comments:

Post a Comment