Jana (01/05/2009) ilikuwa ni siku ya watoto kurudi shule baada ya likizo za sikukuu, na familia ya Obama haikuwa tofauti na familia nyingine katika siku hii ya kwanza ya watoto kurudi shuleni. Pichani anaonekana Rais mtarajiwa na mkewe wakijiandaa kuwapeleka Sasha na Malia shule zao mpya mjini Washington, D.C.
No comments:
Post a Comment