Monday, January 5, 2009

Kina mama wakipita kando ya maiti ya mwanajeshi huko D.R.C. Pamoja na kwamba huyo mtoto aliyebebwa mgongoni bado ni mdogo sana, lakini athari ya vita kwa viumbe hawa ni kubwa sana. Mtoto huyu atayakumbuka sana aliyoyaona na kumwathiri sana ukubwani kama atafanikiwa kuishi.

1 comment:

  1. kweli madhara ni makubwa sana ni kama tunavyoona leo israel na palestin vita haviishi vizazi na vizazi vitataka kulipa kisasi mungu atuepushie vita

    ReplyDelete