HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, March 29, 2009
Mwenyekiti wetu wa Umoja wa Afrika(AU) na Mwafrika mwingine kutoka Sudan wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Doha nchini Qatar kuudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Kiarabu ili kujadili pamoja na mambo mengine matatizo ya mvutano katika Palestine na jinsi Waarabu watavyomsaidia mwenzao toka Sudan. Hawa wenzetu wana bahati sana ya kuwa kote kote.
Mr. Fundi hao ni kama tusemavyo nyumbani; warabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba. Nikiwaangalia kwa undani, naona hakuna zaidi ya unafiki. Kwenye suala la PALESTINA watu wote wanashikamana, tena kwa jazba. Lakini inapokuja suala la wenzetu kule DARFUR, Kila mtu anakaa kimya. Sijui tofauti iko wapi kati ya Palestina na Darfur. To me injustice is unjustice, has to be confronted head-on.
Mr. Fundi hao ni kama tusemavyo nyumbani; warabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba. Nikiwaangalia kwa undani, naona hakuna zaidi ya unafiki. Kwenye suala la PALESTINA watu wote wanashikamana, tena kwa jazba. Lakini inapokuja suala la wenzetu kule DARFUR, Kila mtu anakaa kimya.
ReplyDeleteSijui tofauti iko wapi kati ya Palestina na Darfur. To me injustice is unjustice, has to be confronted head-on.
Brother K.