HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Wednesday, April 1, 2009
Raisi Kgalema Motlanthe wa Afrika ya Kusini ndiye kiongozi pekee toka Barani Afrika aliyepata mwaliko wa kwenda kuwasikiliza na labda kutoa kasauti kidogo pale London kwenye mkutano wa wakubwa wa G20. Hivi ni lini Afrika tutapata nafasi ya uwakilishi wa kutosha inapokuja masuala ya dunia hii?
No comments:
Post a Comment