HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Friday, May 29, 2009
Mwishoni mwa mwezi wa April nilizawadiwa tunzo la kuwa meneja bora wa mwaka kwa kanda yetu. Tunzo hili limenifuraisha sana kwa sababu mimi "Mmatumbi" wa kuja niliweza kuwabiga chini jamaa kibao wa hapa. Pamoja na hali mbaya ya uchumi, takwimu zilionyesha kwamba nilifanya vizuri kwa zaidi ya asilimia 2 kulinganisha na mwaka uliopita. Mafanikio yangu yametokana na uongozi bora, juhudi na maarifa katika utendaji wa kazi niliyokabidhiwa.
No comments:
Post a Comment