HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Friday, August 14, 2009
Pichani la kamanda Ras Makunja akiwa amepozi na mfinyanga solo maarufu wa bendi hiyo Christ-B (mwenye fulanaz aina ya michuzi style) kabla ya onyesho la AFRILU Festival .mjini Ludwigshafen,Ujerumani.Wasikilize hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica
Vichaa wa ngoma afrika,bab kubwa ni vifaa vya kazi si utani
ReplyDelete