HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Friday, August 14, 2009
RAISI WA ZAMANI WA ZAMBIA BWANA FREDERICK CHILUBA ARUDISHWA TENA MAHAKAMANI IJUMAA HII ILI KUJIBU MASHITAKA YA UHUJUMU NA WIZI WA FEDHA ZA UMMA ZIPATAZO KARIBU DOLA ZA KIMAREKANI 500,000 WAKATI AKIWA MADARAKANI.
Raisi wa zamani wa Zambia Bwana Frederick Chiluba na mkewe, Regina wanaoneka wakitoka kortini mjini Lusaka katika picha ya Desemba 2003.
Bwana na Bibi Chiluba wakiwa kwenye hafla fulani Novemba 2008.
KAMA BABU ATAPATIKANA NA HATIA BASI INAPASWA KUPEWA ADHABU KALI SANA ILI AWE MFANO KWA VIONGOZI WENGINE. CHILUBA ALIKUWA ANIJIFANYA MCHA MUNGU KUMBE NI KIBAKA KUMBE NI FISADI WA NGUVU.
KAMA BABU ATAPATIKANA NA HATIA BASI INAPASWA
ReplyDeleteKUPEWA ADHABU KALI SANA ILI AWE MFANO KWA VIONGOZI WENGINE.
CHILUBA ALIKUWA ANIJIFANYA MCHA MUNGU KUMBE NI KIBAKA KUMBE NI FISADI WA NGUVU.