HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Tuesday, January 26, 2010
Tutapokuwa tunasheherekea miaka 49 ya Uhuru mwaka kesho, basi ni vyema tukakumbushana kwamba katika kijiji cha Mwamongu na sehemu nyingine nyingi tu nchini mwetu, hapa ndipo tunapopata maji ya matumizi ya kila siku... "CHAGUA CCM KWA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"
No comments:
Post a Comment