Friday, August 17, 2012

ARUSHA MJII WA KITALII


Hapa ni Goliondoi road downtown Arusha Mt Meru kwa mbali ukiupamba mji huu wa kitalii kwa wale walio bahatika kuishi katika mji huu maharufu kwa kaskazini mwa Tanzania wanaeza kujipatia kumbukumbu waonavyo picha hizi.


muonekano wa barabara ya Anex Arusha aka Arachuga mara baada ya kuwekwa lami , Lanini siona Mitaro ya maji machafu pembezoni mwa barabra hii inakuwaje sasa hapa?


Bara bara ya bondeni iliyopo katikati ya jiji la Arusha ikiwa imemwagwa vifusi vya udongo kwa ajili ya matengenezo ya kuweka lami, Bondeni na mtaa maharufu sana kwa Arusha kwangu mimi nakumbuka mengi juu ya mtaa huu nitafute kwa wakati wako nitiririkeeee. Namiss Arusha

Wauza viatu wakiwa wamepanga viatu pembezoni mwa barabara kuu ya kuelekea standi ya mkoa jijini Arusha

No comments:

Post a Comment