Friday, August 17, 2012

KUDAI HAKI ZAO KWA WASABABISHIA UMAUTI WATU 30 UKO KWA MADIBA-WACHIMBA MADINI WALIGOMA KUFANYA KAZI

Unaweza ukasema ni movie ya SARAFINA au la ...

Watu wapatao 30 wapoteza maisha yao wakitete maslahi yao uko kwa Madiba kama unavyo ona ni miili ya watu hao hikiwa ime imezagaa baada ya kuuliwa na police walinzi wa mgodi huo wawazungu. Mambo kama haya kwa Africa ni kawaida kutokea je tutaenda kumalizana hadi lini kudai haki yako ndo hiwe mwisho wa maisha yako?. Mungu ibariki Africa

Unaweza usiamini jinsi Polisi walivyowapiga Wafanyakazi kwa risasi mimi niliona kwenye Tv nikigemea walikuwa wakipiga risasi za bandia na wale wote waliokuwa mbele kutaka kuwashambulia polisi walikuwa wakidondoka kama vile farasi zikigongana niliposikiliza baadaye Watu 30 wapoteza maisha INATISHA 

 

No comments:

Post a Comment