Friday, August 17, 2012

PATA TASWIRA YA MIJI YETU INAVYOONEKANA NA MADHARI YAKE

Hapa ndiyo panapo endeshwa bunge la jamuhuri ya muhungano wa Tanzania huko Dodoma nijengo la kisasa kabisa katika mji huu wa Dodoma.  

Mji wa Dodoma unavyoonekana na unaweza kuliona jengo la Bunge kwa mbali linavyo upamba mji wa  Dodoma yetu.

Hapa ni Tabora dowtown unaeza jionea barabara ni tambarare eneo la downtown
Hapani usingidani na hili ni Lake Singida ziwa linalo upamba mji huu wa Singida, Kwa wale wenyejin wa miji hii wamefurahi kuona na inawafanya wakumbuke waliko toka..

No comments:

Post a Comment