Picha ya pamoja kama kumbukumbu baada ya kisomo na dinner nyumba kwa Asya Mwilima.
Zainab akiongoza kisoma kabla ya dinner jioni hiyo hapo kwa Asya Mwilima pembeni ni Ustadh Hamza Mandia akisikiliza kwa makini kabia kaika ni mtoto wa Bi Zainab akimsikiliza mama yake anavyo soma dua hiyo.
Bi Zainab akiwa na watoto wake baada ya kumaliza kusoma dua jioni hiyo wakimpongeza mama yao kwa picha ya pamoja.
Mama wa Asya akiongoza upakuwaji wa chakula na akinamama wengine walio kuwa wamejitokeza jioni hiyo.
Dada Mary akiwa sambamba na sahani ya chakula akielekea kwenda kukaa baada ya kujipakulia msosi
Dada Sonia kushoto kutoka Jersey na kati ni Asya , Bi Zainab akiwa na mwanae pembeni
Maustadh wakijipakulia chakula tayari kama wanavyo onekana katika picha, mambo ya maanjumati hayo.
No comments:
Post a Comment