SALAMU ZA EID EL FITRI KUTOKA LOS ANGELES CA
Maustadh wa uko Los Angeles, CA baada ya kumaliza swala ya Eid El fitr, Swala hiyo ya Eid ilifanyika katika msikiti wa Islamic Center of Reseda, CA. Baada ya swala walielekea kwenye ukumbi wa Anoush Banquet Hall in Glendale, Kwa mankuli na vimiminika vya hapa na pale na kisha kupata music ulikokuwa unaongozwa na Dj Rabia, Rabia ni Chairlady wa Jumuhia ya watanzania wa Los Angeles na vitongoji vyake.
Chairlady Rabia kushoto Bi Nuru, Aunty Mbahuwa, Bi Zainab mdhamini wa pendo wa ustadh Haji Jingo na Maryam Jaye wakipata ukodak wa kumbukumbu baada ya swala ya Eid el fitri nje ya msikiti wa Islamac Center, CA.
Haji Jingo akiwa na mama mwenye nyumba wake mdhamini wa pendo lake Bi Zainab aka Tina, huu ndo usingizi wa Ustadh Jingo, Wana pendana hadi wamefanana hongera sana. (picha zaidi bovya read more)
Picha za kumbukumbua kama unavyo baada ya kutoka msikitini wakijianda kuelekea kwenye ukumbi wa chakula vinywaji na music.
Ustadh Haji na mama mwenye nyumba wake katikati na Aunty Mbahuwa wakiwa katika mkao wa kula maanjumanti yaliyo kuwa yameandaliwa siku hii ya Eid El Fitri
Mahanjumati mezani |
Dj Rabia akiandaa vitu vyake tayari kwa kuwapatia music watu waliojisogeza katika eneo hilo kwa ajili ya chakula cha Eid.
Baada ya chakula watu walijimwaga kama hivi hapo ni taarabu mambo ya music wa mwambao kwa raha zao.,Picha kwa hisani ya Jingo, & Ny Ebra! |
No comments:
Post a Comment