Sunday, January 6, 2013

CHARLES KAROGWA NA REHEMA SHILIYE WAMEREMETA


Bibi harusi Rehema Shiliye akimlisha keki mumewa, Charles Kalogwa baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Angilikana Msasani na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Free Hall uliopo Chuo cha Maji Ubungo jijini Dar es Salaam, jana.
Bwana harusi Charles Karogwa wa Msasani Dar es Salaam, akikata keki na Mkewake Rehema Shiliye baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Angilikana Msasani na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa 'Free Hall' uliopo Chuo cha Maji Ubungo jijini Dar es Salaam, jana.

No comments:

Post a Comment