Sunday, January 6, 2013

NGUMI ZA WATU WAZIMA RAHA SANA


Mpiga debe katika Kituo Cha daladala cha Segerea Alipopishana kiswahili na mmoja wa abiria katika kituo hiko Jioni hii na kupelekea kuchapana makonde laivu bila chenga na kupelekea tukio hilo kuteka hisia za mashuhuda
Hapo Jamaa akipokea Makonde mazito kutoka Kwa Mpinzani wake jioni hii katika kituo cha Daladala cha Segerea

No comments:

Post a Comment