Sunday, February 17, 2013

MATUKIO-KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA.

Ndugu Ramadhan Kizinga Katibu wa Vijana Mkoa wa Mbeya akihamasisha jambo katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambacho kinaendelea leo hii Katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (whitehouse) Mjini Dodoma


Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana kutoka Mkoa wa Lindi, Ndugu Amir A. Mkalipa(kulia) ambae ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa na Ndugu Jabir Omar Makame-mjumbe wa Baraza Kuu Kutoka Mkoa huo, wakiwa ndani ya Kikao cha Baraza, Dodoma.


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (Taifa) Ndugu Sadifah Juma (wa katikati, mwenye shati lenye madoa madoa) akiwa pamoja na wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa, nje ya Ukumbi wa NEC, mjini Dodoma.


Ndugu Deo Daffi ( Mhasibu Mkuu wa Taifa wa UVCCM) akiwa anawasilisha taarifa ya Idara ya Uchumi katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambacho kinaendelea leo hii Katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (whitehouse) Mjini Dodoma.


Ndugu Jumanne Ally kimtende (Mjumbe wa Baraza kutoka Mkoa wa Mjini Unguja) akiwa anatoa mchango wake katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambacho kinaendelea leo hii Katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (whitehouse) Mjini Dodoma


Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Tanga, Ndugu Abdi Mohamed akitoa maelezo ya Uimarishaji wa chipukizi katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambacho kinaendelea leo hii Katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (whitehouse) Mjini Dodoma


Ndugu Jabir Omar Makame akisisitiza jambo juu ya mikakati ya kuinua na kukuza kipato cha jumuiya ya Vijana katika ngazi za kata na wilaya.


Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mtwara Ndugu Nestory Chilumba akifafanua jambo katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambacho kinaendelea leo hii Katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (whitehouse) Mjini Dodoma
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kutoka Jumuiya Ya Vijana Ndugu Deo Ndejembi akichangia hoja katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambacho kinaendelea leo hii Katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (whitehouse) Mjini Dodoma
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiwa anatoa somo kuhusu Hali ya Siasa, Vijana na Ajira Nchini katika Semina iliyofanyika kwenye Kikao Cha Kwanza Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Whitehouse mjini Dodoma leo tarehe 17 february 2013.


Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa wakiwa wanamsikiliza kwa makini Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiwa anatoa somo kuhusu Hali ya Siasa, Vijana na Ajira Nchini katika Semina iliyofanyika kwenye Kikao Cha Kwanza Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Whitehouse mjini Dodoma leo tarehe 17 february 2013
Semina kwa wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa juu ya wajibu na majukumu ya wajumbe hao na mipaka yao ya uongozi pamoja na kutathmini njia ya kuimarisha jumuiya ya Vijana na mikakati ya kuwasaidia Vijana Nchini.

No comments:

Post a Comment