Sunday, February 17, 2013

SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIBOLO FC

Timu zote zikiingia Uwanjani. (Picha zote na Dande JR)
Kikosi cha Libolo FC
Kikosi cha Simba.
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja na mwenzake Maieco Antonio wakisalimia kabla ya mchezo.
Maamuzi wa mchezo wa Simba na Libolo wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu hizo.
Mashabiki wa Simba.
Beki wa timu ya Libolo FC ya angola, Antonio Cassule akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliogfanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Libolo FC ilifungwa 1-0.
Amri Kiemba akimtoka beki wa Libolo FC, Pedro Ribeiro.
Beki wa Simba, Shomari Kapombe akimtoka beki wa Libolo FC ya Angola, Pedro Ribeiro.
Beki wa Simba, Juma Nyoso akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Libolo FC, Antonio Cassule.
Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngasa akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Libolo FC, Gamaniel katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Libolo imeshinda 1-0. 
Kipa wa Libolo FC, Landu Mavanga akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mashabiki wa Yanga wakiipa sapoti timu ya Libolo FC ya Angola.
Beki wa Simba, Shomari Kapombe akipata matibabu baada ya kuumia. picha na http://francisdande.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment