Monday, January 11, 2010





Katika miaka ya nyuma kabda hajaamua kufuata Bwana Yesu, Dr. Remmy Ongala alitufurahisha na kipaji chake katika kupangilia nyimbo za musiki wa dansi ulioleta burudani la hali ya juu sana. Wengi bado tunavikumbuka sana vibao vingi alivyovitoa huyu bwana, vingi vikigusia maisha ya kila siku ya Mtanzania. Asante sana Dr. Remmy na hongera nyingi katika maisha yako mapya ya kiroho!!




Sunday, January 10, 2010

Friday, January 8, 2010






The Boxing Great of All Time - Muhamad Alli.
Ingawa ni miaka mingi imeshapita tokea Alli atoke kwenye ulimwengu wa masumbwi, lakini bado hajatokea mwingine ambaye anaweza kulinganishwa nae.







Super model Ms. Tyra Banks.




Umoja wa Mataifa New York.





Dada yetu Serena!!!!!!




Wednesday, January 6, 2010

Tuesday, January 5, 2010

Ingawa hawa jamaa wa jiji wanajitahidi katika usafi, lakini usafi wa mazingira bado ni jukumu la kila mmoja wetu. Utupaji ovyo wa taka na watu kujisaidia vichochoroni badala ya kutumia vyoo si uungwana!! Tuige wanavyofanya Kigali.







Kuuliza si ujinga! Hivi bei ya hivi vitu vya "mafungu" anapanga nani? Je! ni wachuuzi wenyewe au serikali?

Monday, January 4, 2010


What?

Raisi Zuma wa Afrika ya Kusini yuko mbioni kujichukulia mke nambari Tano, tena kwa sherehe kubwa ya kijadi huko jimboni kwake la KwaZulu-Natal. Nahisi mpaka anamaliza muda wake wa kuwa Raisi anaweza kufikisha kumi!

Sura ya kijana Umar Farouk Abdulmutallab haionyeshi kama ni kijana ambae alinuia kuleta madhara makubwa kwa wasio na hatia. Swali bado, hivi ni kwanini hasa?

Sunday, January 3, 2010



New York, Chicago, Singapore... watch out Dubai is taking over!! Jumba refu kuliko yote.




Raisi anapokuwa anakafurahia ka-vacation!!!


WAPENDWA WOTE WAFUATILIAJI WA BLOGU HII
NAPENDA NIOMBE RADHI KWA KUTOKUWA
MTANDAONI KWA SIKU KADHAA.
VILE VILE NATOA POLE KWA YALIYOTUSIBU KWA KUONDOKEWA
NA MPENDWA MZEE WETU "SIMBA WA VITA" RASHID MFAUME KAWAWA
NA KWA FAMILIA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.
WAPENDWA NAOMBA BADO TUWE PAMOJA!