Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Paschal Mabiti (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Dr. Titus Kamani (kulia) wakitoka kwenye ukumbi wa mikutano wa Kanisa la Kiijili la Kilutheli Tanzania KKKT mjini Bariadi baada ya waziri Mkuu kuzindua kamati ya ushauri ya mkoa wa Simiyu (RCC) Februari 19, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mchungaji Aaron Malyuta wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Bariadi wakati alipozindua Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Simiyu (RCC) kwenye ukumbi wa KKKT mjini Bariadi Februari 19,2013. Katikati ni mkuu wa mkoa wa simiyu, Paschal mabiti.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyabiashara katika eneo la Mnada wa Bariadi wakti alipowatembelea Febuari 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto yatima wa Shule ya Msingi ya Tumaini inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Mjni Bariadi Februari 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment