Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila,wakipokea moja ya kati ya kompyuta kumi toka kwa Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule zenye thamani ya shilingi Milioni zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama,walifika kushuhudia makabidhiano ya ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7 zilizotolewa na Vodacom Foundation mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama,wakifatilia kwa ukaribu makabidhiano ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7 zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation.
No comments:
Post a Comment