Friday, January 30, 2009

Inafurahisha kusikia kuwa Wakongo wanapiga hatua ya kuwa na amani nchini mwao. Jana majeshi yaliyokuwa yakipingana na serikari yaliunganishwa na majeshi ya serikali na kitendo hicho kilifanyika kwa wapinzani hao kuvishwa magwanda ya jeshi la Kongo na kukaribishwa kwa furaha kama inavyoonekana kwenye picha.

No comments:

Post a Comment