Friday, March 29, 2013

NY EBRA AKIWA NA WATOTO YATIMA ARUSHA

 Hapa ni baada ya kutoa msaada wa chakula kwa ajili ya pasaka kwa watoto yatima hao wa Ebenezer Day Care Arusha....
 Ny Ebra akipata ukodak na watoto hao kama kumbukumbu....
Watoto wakipata ukodak

BREAKING NEWZZ JENGO LIMEPOROMOKA KATIKATI YA JIJI


PictureTaarifa lizizotufikia hivi punde zinasema kuna Jengo jipya lililokuwa linajengwa limeporomoka na kuangukia msikiti  (kama inavyoonekana pichani) asubuhi hii mwendo wa saa mbili u nusu, katikati ya jiji la Dar es Salaam, kwenye barabara ya Mororogo, punde tu baada ya Kisutu.
Picture

Wednesday, March 20, 2013

Aibu Kubwa:Mwanaume Anaswa Akitongoza Wanawake Kwa Kuwatumia Picha zake Chafu

Huyu ni mwanaume mtu mzima ambaye hujipiga picha chafu za uchi na kuzituma kwa warembo ili awanase kimapenzi......
Mtandao huu umefanikiwa kuzinasa picha 6 za Mwanaume huyu aliyetambuliwa kwa jina la Moses Kadey ....
Kati ya picha hizo, 5 yuko mtupu akijinadi na moja kavaa kikazi.
Akiongea na mtandao huu, mmoja wa wasichana hao amedai kuwa jamaa huyo amekuwa akizituma picha hizo kwa warembo saba ambao kwa bahati nzuri au mbaya ni MARAFIKI.
"Huyu mtu anaitwa Mosses Kadey amekuwa anatutumia mipicha ya ajabu eti anatutongoza mimi na rafiki zangu karibia 7 wote anatutumia mipicha kama hii au mbya zaidi hata kuonyesha aibu jamani akome"....Alifunguka mrembo mmoja mbele ya mpekuzi wetu
Tunawapongeza warembo hao kwa uamuzi wao wa busara wa KUMKIMBIA FATAKI HUYU
Hii ni mara ya kwanza kushuhudia mwanaume akimtongoza binti kwa kutumia picha za uchi.....Kama ni mzuri ni mzuri tu......
Ni vyema jamii ikajifunza kutokana na matukio.Mapenzi ya picha za uchi ni sumu na ni aibu ya
milele....


Why 90% ya Mamiss wa Bongo Hawaoleki?


WAKATI mashindano ya u-miss yanaanzishwa Bongo, wazazi wengi walikuwa wazito kuwaruhusu watoto wao kushiriki wakiamini kwamba ni uhuni. Kadiri miaka ilivyozidi kusonga mbele, taratibu walianza kuelewa kuwa siyo uhuni na wakawaruhusu watoto wao kwa kuyaona yana tija.
Matunda ya warembo yalionekana, lakini kumekuwa na dosari kwao, licha ya mafanikio makubwa wanayoyapata, asilimia kubwa hawaolewi. Swali la kujiuliza hapa ni kwa nini hawaoleki, why?
Mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema, sababu inayosababisha  warembo hawa wasiolewe au hata wakiolewa wasidumu kwenye ndoa ni jinsi wenyewe walivyojijenga akilini kuwa ni watu maarufu, wazuri hivyo wamekuwa wakichagua wanaume na kuishia kutumiwa, wakija kushtuka umri unakuwa umewatupa.

SAKATA LA KIJANA ALIYEMUUA MAMA YAKE MZAZI KWA KUMKATA SHOKA

Frank Hillary, 27, aliyetambuliwa kuwa mlokole, amethubutu na kuweza kukatisha maisha ya mama yake, Ndolukasi Lugamo, 50, akitumia shoka kuondoa uhai wa mzazi wake.
KWELI kuelekea mwisho wa dunia, mengi yataonekana. Mtu unawezaje kumpiga shoka mama yako mzazi, aliyekutunza tumboni mwake kwa miezi tisa, akakunyonyesha, kukusomesha hadi kukua na kujitegemea?
Tukio zima, lilichukua nafasi Alhamisi iliyopita, Mtaa wa Malipula, Kata ya Chamwino, mkoani Morogoro na inadaiwa kwamba kabla ya mauaji, Hillary alimpiga vibao, mitama na mateke mama yake.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, Pili Athuman, alidai kwamba siku ya tukio, kulitokea mabishano kati ya Hillary na mama yake.
“Yalikuwa mabishano kidogo lakini ghafla yule kijana alimvamia mama yake na kuanza kumpiga,” alisema Pili na kuongeza:
“Yule kijana ni mtoto wa pekee wa yule mama. Tunashindwa kuelewa mpaka sasa chanzo cha tukio hilo. Halafu wale watu ni walokole kabisa na siku zote walikuwa wanaishi kwa upendo.”
Shuhuda mwingine, Julius Josephat alisema: “Mimi nashindwa kuelewa. Huyu marehemu na mwanaye walikuwa wanapendana sana, wakienda kanisani wanaongozana kama kumbikumbi.
“Kinachosikitisha zaidi ni kuwa mama yake aliumia mkono kama siku tatu kabla, akawa amefungwa plasta ngumu (POP), nahisi ndiyo maana alishindwa kujiokoa.” 
Naye Maria Maswika ambaye nyumba yake imepakana na ile ya mama Hillary, alieleza: “Leo (Alhamisi), saa 4 asubuhi nilimsikia huyo mama akipiga kelele za kuomba msada, huku akiingia nyumbani kwangu.
“Nilipotoka chumbani, nilishuhudia kwa macho yangu yule kijana akimpiga shoka mama yake na kumuua palepale. Sababu ya ugomvi wao siielewi. Kwanza nashangaa sana, kwani yule mama wa watu alikuwa anampenda sana mtoto wake.”
Mwandishi wetu alifika eneo la tukio mapema na kushuhudia wananchi wakimkamata Hillary, kumfunga kamba kabla ya polisi nao kuwasili, kuandika maelezo na kumchukua mtuhumiwa huyo wa mauaji ya mama yake mzazi.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, ACP Faustine Shilogile, alisema: “Uchunguzi zaidi wa tukio unaendelea na utakapokamilika, tutamfikisha mtuhumiwa mahakamani.”
Kitu kilichowashangaza wengi eneo la tukio ni paka anayetajwa kumilikiwa na marehemu ambaye baada ya mama huyo kuuawa, yeye alikwenda kulamba damu kisha akalala kichwani kwenye mwili wa marehemu.

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL ATOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA WA MSIBA WA WA ALIYEKUWA ASKARI WA USALAMA BARABARANI, WP ELIKIZAELI LOKISA NNKO, ALIYEFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI

Picha ya Marehemu enzi za uhai wake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, WP Elikizaeli Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Prince David, mtoto wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, marehemu WP Elikizaeli Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam jana.
Kutoka (kulia) ni Mume wa Marehemu, David Erasto Luharara, watoto wa marehemu, Prince David na Abdulhaman David, wakiwa na huzuni.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu kuomboleza msiba huo.Picha na Ofisi ya Makamu Wa Raisi

Tuesday, March 19, 2013

It runs in the family! TOWIE's Sam and Billie Faiers show off their VERY good genes as they parade incredible bikini bodies on the beach in Dubai

Bikini babes: Sam and Billie Faiers showed off their killer bodies as they lapped up the sun on the beach in Dubai

Sam, 22, showed off her toned tum and killer tan in a khaki fringe-detail halterneck number as she enjoyed a day at the beach with her elder sister.
Piggy-back: The blonde sisters seemed to be in great spirits as they frolicked together in the turquoise ocean
Genetically blessed: The TOWIE co-stars looked positively stunning as they kicked back on the white sands at the Le Royal Meridian Hotel
Not to be outdone by her younger sister, Billie, 23, looked equally as impressive as she enjoyed a dip in the perfect turquoise sea.
The boutique owner looked as though she had been hard at work in the gym as she flashed her toned and taut stomach in a skimpy burgundy string bikini. 
With her locks highlighted by the sun, the blonde bombshell had the beach babe look down to a tee as she soaked up the rays. 
Playful: Billie couldn't help but giggle away as her sister splashed her with water

It runs in the family: Sam showed off her toned tum in a khaki fringed two-piece, while Billie paraded her enviable curves in a burgundy string bikini 
The girls seemed to be in fantastic spirits as they enjoyed a day at the beach together, with the pair playfully splashing each other before Billie jumped on Sam's shoulders for a piggy-back.

Although there's no denying both girls looked incredible as they displayed their bikini bodies, both have admitted to suffering from insecurities in the past. 
Speaking about her 32G bust, Billie said: 'I’m 5ft 4in and a size 8 with massive boobs, so when I started on TOWIE everyone wrongly assumed they were fake.
Sister act! The girls had evidently spent a lot of time soaking up the sun, with both of them sporting killer tans during their day out at the beach

'My back constantly aches and my shoulders tense up with the weight of them. It builds up during the day and by night-time, it’s really painful.'
Meanwhile, Sam admitted she and her sister have accepted that they'll never be 'stick insects'.
She said: 'My confidence differs from week to week. Some weeks, I feel good and other times I don’t. I try not to focus on bad pictures, though. 
'We’re not stick insects and we’d never want to be. We go out in flats and no make-up and we’re just ourselves.'
Killer curves: Billie looked as though she had been hard at work in the gym as she showed off her flat stomach and toned limbs

DUNIA INAMAMBO NA MAMBO YENYEWE WATU NA VIATU, MWANAMKE MMOJA WANAUME WAUME WATANO AMBAO NI NGUGU WA MUME WAKE


Rajo (mbele) akiwa na mwanaye na waume zake watano.

MWANAMKE, Rajo Verma, 21, mkazi wa mjini Dehradun, India, anaishi na wanaume wake watano katika kibanda chenye chumba kimoja ambapo hulala na mwanamme mmoja kila usiku. Mwanamke huyo hana uhakika na baba wa mtoto wake mdogo wa kiume ambapo anasema: “Mwanzoni niliona matatizo kuwahudumia wote katika kuwapa unyumba. Lakini sasa nawahudumia wote bila upendeleo.” Mumewe mmoja aitwaye Guddu, 21, ambaye alikuwa wa kwanza kumwoa anasisitiza: “Wote tunafanya naye tendo la ndoa bila wivu.

The next trend for Centre Court? The tennis world's fashionista Serena Williams tries out geek chic as she shoots TV ad

Let's shoot this: Serena Williams films a Wilson Tennis TV advertisement in Coral Gables, Miami on Monday
The 31-year-old, who is in Miami for the Open, wore a purple tennis top and skirt with a sunhat and geeky glasses covered in tape as she shot the new Wilson Tennis campaign in Coral Gables.
With the square glasses and floppy hat, it looked like Serena was preparing to make fun of herself as she shot the ad for the racquet brand at the Biltmore Tennis Center.
She tweeted: 'Guess who at a #wilsontennis shoot.'
It appears Russian tennis player Victoria Azarenka, who won the Australian Open Women's Singles this year, was nearby and was overhearing Serena during the shoot.
Ready to play: Serena is gearing to play the Miami Open this week
After she tweeted Serena saying: 'All good Serena:)))))', the latter replied: '@vika7 omg do u hear my convo?? Lol I'm soooo embarrassed even more now! Lol hahaha tell me u were laughing!!!! @WilsonTennis #setfun.'
Ahead of the shoot, Serena was training with her coach Patrick Mouratoglou for the Miami Open.
She tweeted: 'Tough day at the office today @pmouratoglou but I am done and now at a @WilsonTennis shoot.'
She's returning to the court after she was forced to pull out of the Dubai Championships last month after hurting her back.
Serena withdrew just minutes before she was due to play Frenchwoman Marion Bartoli after injuring her lower back.
Fighting fit: Serena is back on form after hurting her lower back last month
However, she looking forward to Miami, where she'll be the the oldest No.1 WTA since records began in 1975.
She told the Miami Herald last week: 'There were times I thought the hill seemed nearly impossible to climb.
'During that whole time, I wasn’t even thinking about reaching No. 1 again. Wasn’t thinking about tennis. I was just thinking about getting up out of bed. Then, when I came back in the summer of 2011, I started playing really, really well. I thought, "OK, I can play tennis again."
'I started setting short-term goals. Get back to the top 10. Pass this person. Be the best American. Little by little, I climbed my way back. It feels good to be No. 1 again. I feel I should be here.'
And action: Serena posted a photo on set on her Twitter page
Doing her bit: Serena's sister Venus met aspiring young tennis players through the charitable organisation First Serve Miami (FSM) in Miami
Follow your dreams: Venus talks to the children about their aspirations

LAANA: MKE WA MTU AFUMANIWA AKIZINI NA MDOGO WA MUME WAKE ( SHEMEJI YAKE)

Na Dustan Shekidele, Morogoro
MWANAMKE aliyefahamika kwa jina la Bahati ambaye ni mke wa Mrisho Juma, hivi karibuni alikumbwa na aibu ya aina yake baada ya kunaswa laivu ‘akingonoka’ na shemeji yake.

Tukio hilo lililoshuhudiwa na umati wa watu lilijiri Machi 11, mwaka huu mchana kweupee katika eneo la Mafisa kwa Mbambi ndani ya chumba cha Mbaji Hamis ambaye ni mdogo wa Mrisho.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mrisho ambaye anafanya kazi ya kupiga debe katika stendi ya mabasi ya Msamvu alisema, fumanizi hilo halikutokea kwa kuweka mtego bali ni Mungu tu.
Alieleza kuwa alikamatwa Ijumaa na kutupwa mahabusu kwa kosa la kutovaa ‘yunifomu’. Mkewe na mdogo wake wakawa wanampelekea chakula.
“Jumapili jioni walikuja tena kuniletea chakula ila kwa bahati nzuri Jumatatu nikapewa onyo na kuachiwa. Cha ajabu nilipofika nyumbani nilimkuta mtoto wangu wa miaka 2 analelewa na majirani.


“Nilipowauliza mke wangu yuko wapi walidai tangu Jumamosi hajaonekana kwa maelezo kwamba amekwenda kushughulikia dhamana yangu,” alisema Mrisho na kuongeza kuwa aliendelea kumtafuta sehemu mbalimbali hadi alipoamua kwenda nyumbani kwa mdogo wake.


“Nilipofika nilimkuta mke na mdogo wangu wakiwa pamoja kitandani. Baada ya mdogo wangu kuniona alinyanyuka na kuvaa bukta kisha akatoka nduki,” alisema Mrisho. 
Ikaelezwa kuwa, baada ya mwanaume huyo kumfumania mkewe huku majirani wakishuhudia, alimshushia kipigo kisha akampa talaka kabla ya kuamua kumrudisha kwao Tabora.
Akizungumza na mwandishi wetu kuhusiana na kufumaniwa huko, Bahati alisema shemeji yake alimlazimisha kulala naye baada ya kutoka polisi kumpelekea chakula mumewe.
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa, Rehema Dimoso alikiri kutokea kwa tukio hilo kwenye mtaa wake.

Monday, March 18, 2013

Mkasi - SO6E04 With Khadija Kopa


ICC: We have enough proof on Uhuru

President-elect Uhuru Kenyatta

The thrust of Uhuru’s argument was that with the dropping of charges against former Head of Civil Service Francis Muthaura formally on Monday, those against him fell because their cases were intertwined.

The prosecution however argued the roles Uhuru and Muthaura played were different and assured the court it would be able to support the charges against the President elect.

On this spirit the prosecution led by Fatou Bensouda opposed any attempt by Uhuru’s defence led by Stephen Kay, resisted attempts to have his charges dismissed arguing its case against him were sustainable.

“The prosecution acknowledges that withdrawal of ‘Witness Number 4’ leaves it without any evidence to go to trial. The key evidence by the ‘OTP 4’ that led to the withdrawal of charges against Muthaura is the same for Uhuru,” Kay told the judges.

Muthaura case was formally withdrawn as a witness set to testify against Deputy President-elect William Ruto stepped down, claiming he had been coached to come up with fabricated charges and even had never been to Ruto’s home where he (the witness) had alleged planning meetings had taken place.

Enticing witnesses

Through lawyer Paul Gicheru, Mr Samuel Kimeli Kosgei, wrote to the International Criminal Court prosecutor withdrawing each and every piece of evidence attributed to him. He also asked to have his name removed from the list of the prosecution witnesses.

“I have never personally visited any of the homes of William Ruto and I did not witness any event and cannot vouch for the truth or otherwise of any allegation that has been made or attributed to me against him,” said the witness in the affidavit.

He further claimed in the affidavit that he was promised that he would be rewarded and settled either in Europe, America or Australia if he testified before the ICC and that his standard of living would improve tremendously.

The ICC, however, denied claims of coaching witnesses or even enticing or inducing them in anyway.

ICC in a letter signed by the Trial Attorney Cynthia Tai addressed to Gicheru, the court acknowledged receipt of the witness letter but rejected accusation that the ICC has been involved in inducing witnesses to provide false testimony.

In the Uhuru case Status Hearing Conference at The Hague, the victims’ lawyers stridently argued that the International Criminal Court was venturing on new territory since it is the first time, in Uhuru’s case, that an accused person has been elected President.

Never existed

In withdrawing Muthaura’s charges, the court conceded: “In the present case, the Prosecution has submitted that current evidence does not support the charges against Mr Muthaura and that it has no reasonable prospect of securing evidence that could sustain proof beyond reasonable doubt.”

The withdrawal was granted by Trial Chamber V Judges Kuniko Ozaki (presiding), Christine Van den Wyngaert and Chile Eboe-Osuji.

Kay explained that the evidence that was relied on by the Pre-Trial Chamber was rushed and nobody has reviewed the decision of the chamber. “Over 90 per cent of the evidence that was relied on by the prosecution was from ‘Witness Number 4’ to confirm the charges against Muthaura and Uhuru. Witness 11 and 12 were giving hearsay evidence,” he said.

The lawyer told the court the money that was purportedly given to Mungiki sect followers to perpetrate violence was actually given to Party of National Unity to support its presidential campaign.

He added that the meetings that were claimed to have taken place on January 3, 2007, never existed according to the witnesses and added that the one that was said to have taken place in December 30, 2007 was not a meeting. “It is unfair to withdraw the suit against Muthaura and not against Uhuru as the evidence that led to the confirmation of charges were the same. The prosecution has no evidence to sustain prospect of prosecution,” he argued.

Witness four

The lawyer asked the court to look at the true state of the case against Uhuru without ‘Witness Four’ and argued they would realise that there was no case against Uhuru as the prosecutor relied on the witness on majority of the evidence.

The lawyer added that claims that money was given to the sect members by Uhuru following issues arising from the operation ‘Kibaki Again’ by the eleventh and 12th witnesses explained that the money might have come from leaders from Mount Kenya region or Kikuyu elite. “The Pre-Trial Chamber links Uhuru to the dishing out of money to Mungiki members whereas the witness did not mention Mr Kenyatta,” he added.

The lawyer argued the witness had lied and had given conflicting evidence and this had made the Pre-Trial Chamber to rely on the wrong evidence.

“We warned the Pre-Trial Chamber of the quality of the evidence that they were presenting to the court but we were ignored quite considerably,” Kay added.

He disclosed that some of the witnesses have already approached the counsel and they have the evidence on tape and explained that there was a game going on.

However, the ICC prosecution through lawyer Adesola Adeboyeju, opposed the attempt to have the charges dropped and insisted they had evidence against Uhuru.

By Isaiah Lucheli and Wahome Thuku, Standard Media

Anderson Cooper gives heartfelt thanks to his partner Benjamin after winning GLAAD award (and has his first ever kiss with a girl)


Passionate peck: Anderson Cooper and Madonna kissed on stage at the 24th annual GLAAD Media awards on Saturday
'Do I have lipstick from Madonna on me?' he quipped.
'It's a first. Kissing a woman, that is.'
Joking aside, the 45-year-old anchor made a serious point about his love life when he won the award. 
'It has allowed me to love and be loved, to open my head and open my heart in ways I would have never predicted,' he said.

LWAKATARE ASOMEWA MASHITAKA MANNE YA UGAIDI

Wakili wa Lwakatare, Tundu Lisu (kulia) akimuelekeza jambo Mbuge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati wakijaribu kuandaa mipango ya dhamana.
Lwakatare akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani.
Wakili Peter Kibatara akiweka mambo sawa kabla ya kuanza kumtetea Lwakatare.
Wanachama na mashabiki wa Chadema wakionesha alama ya vidole viwili kabla ya kesi kuanza.
Wakili Nyaronyo Kicheere akimuelekeza jambo Godbless Lema baada ya kesi kuahirishwa, kulia ni Tundu Lisu.
Wanachama wa Chadema wakiwa wametawanyika nje ya mahakama baada ya kesi kumalizika.
Lwakatare akipelekwa rumande baada ya kunyimwa dhamana.
Mke wa Lwakatare akitahayari baada ya mumewe kunyimwa dhamana.

Mkuu wa kitengo cha usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilfred Lwakatare leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka manne ya ugaidi. 

Lwakatare amepandishwa kizimbanai sambamba na kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Ludovick Joseph. Katika kesi hiyo Lwakatare anatetewa na mawakili watano, Tundu Lisu, Profesa Safari, Nyaronyo Kicheere, Mabere Marando na Peter Kibatara