Sunday, May 31, 2009









Kumbukumbu za Baba wa Taifa - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Friday, May 29, 2009

Ngano ya majirani zetu wa kwa Musevenyi!




Mwishoni mwa mwezi wa April nilizawadiwa tunzo la kuwa meneja bora wa mwaka kwa kanda yetu. Tunzo hili limenifuraisha sana kwa sababu mimi "Mmatumbi" wa kuja niliweza kuwabiga chini jamaa kibao wa hapa. Pamoja na hali mbaya ya uchumi, takwimu zilionyesha kwamba nilifanya vizuri kwa zaidi ya asilimia 2 kulinganisha na mwaka uliopita. Mafanikio yangu yametokana na uongozi bora, juhudi na maarifa katika utendaji wa kazi niliyokabidhiwa.





Jana katika pita pita yangu pale Manhattan, nilikumbana na hii sehemu hapo juu inayouza vinywaji baridi. Ingawa kulikuwa na manyunyu ya mvua na nikiwa naendesha ilibidi nichukue snap ya jina ya hii sehemu. Iko katikati ya 5th na 6th Avenue kwenye barabara ya 42nd. Nitajitahidi kurudi tena kudadisi kuhusu maana ya hilo jina.


Thursday, May 28, 2009


Tanzania



Uganda



Hii sanaa ya ukutani ina ujumbe mzito kuhusu uonevu wa watoto. Iko katika kuta moja pale Bongo.

Wajamani vipi hii lugha imekaaje? Naomba tusaidiane kidogo...










Barcelona yawacharaza Manchester United mabao 2 - 0 katika mechi ya fainali ya UEFA football Champions League iliyofanyika katika uwanja wa Olympic Jijini Roma na mambo yalikuwa kama inavyoonekana hapo juu. Hongera Barcelona!!!




Wednesday, May 27, 2009

MIJI YETU MIKUU AFRIKA MASHARIKI














Dar es Salaam, Tanzania













Nairobi, Kenya














Kampala, Uganda















Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa siku ya Ijumaa tarehe 22 mwezi huu wa Tano pale kwenye ukumbi wa Le Cirque Afrique wakati Cocody Productions ilipofanya vitu vyake. Ulikuwa ni usiku wa mitindo, musiki na mikonos kibao... kama picha zinavyoonyesha hapo juu.



Sunday, May 24, 2009








Kama wewe ni mkazi wa Dar au uliwahi kufika Dar kwa matembezi basi si rahisi kutoukumbuka huu mnara "Askari Monument" mbao huko pale katikati ya Jiji letu. Lakini kwa walio wengi wanaweza wasijue historia ya mnara huu. Msaada tutani mwenye historia yake... kwani ndio kuelemishana kwenyewe!


USHAURI MZURI KUHUSU MAISHA...


A carrot, an egg, and a cup of coffee...You will never look at a cup of coffee the same way again.

A young woman went to her mother and told her about her life and how things were so hard for her. She did not know how she was going to make it and wanted to give up, She was tired of fighting and struggling. It seemed as one problem was solved, a new one arose.

Her mother took her to the kitchen. She filled three pots with water and placed each on a high fire. Soon the pots came to boil. In the first she placed carrots, in the second she placed eggs, and in the last she placed ground coffee beans. She let them sit and boil; without saying a word.


In about twenty minutes she turned off the burners. She fished the carrots out and placed them in a bowl. She pulled the eggs out and placed them in a bowl . Then she ladled the coffee out and placed it in a bowl. Turning to her daughter, she asked, ' Tell me what you see? ''Carrots, eggs, and coffee,' she replied. Her mother brought her closer and asked her to feel the carrots. She did and noted that they were soft.. The mother then asked the daughter to take an egg and break it. After pulling off the shell, she observed the hard boiled egg. Finally, the mother asked the daughter to sip the coffee. The daughter smiled as she tasted its rich aroma.

The daughter then asked, 'What does it mean, mother?' Her mother explained that each of these objects had faced the same adversity: boiling water. Each reacted differently. The carrot went in strong, hard, and unrelenting. However, after being subjected to the boiling water, it softened and became weak. The egg had been fragile. Its thin outer shell had protected its liquid interior, but after sitting through the boiling water, its inside became hardened. The ground coffee beans were unique, however. After they were in the boiling water, they had changed the water.

'Which are you?' she asked her daughter. 'When adversity knocks on your door, how do you respond? Are you a carrot, an egg or a coffee bean?


Think of this: Which am I? Am I the carrot that seems strong, but with pain and adversity do I wilt and become soft and lose my strength? Am I the egg that starts with a malleable heart, but changes with the heat? Did I have a fluid spirit, but after a death, a breakup, a financial hardship or some other trial, have I become hardened and stiff? Does my shell look the same, but on the inside am I bitter and tough with a stiff spirit and hardened heart? Or am I like the coffee bean? The bean actually changes the hot water, the very circumstance that brings the pain. When the water gets hot, it releases the fragrance and flavor. If you are like the bean, when things are at their worst, you get better and change the situation around you.



When the hour is the darkest and trials are their greatest do you elevate yourself to another level? How do you handle adversity? Are you a carrot, an egg or a coffee bean? May you have enough happiness to make you sweet, enough trials to make you strong, enough sorrow to keep you human and enough hope to make you happy. The happiest of people don't necessarily have the best of everything; they just make the most of everything that comes along their way.


The brightest future will always be based on a forgotten past; you can'tgo forward in life until you let go of your past failures and heartaches.


When you were born, you were crying and everyone around you was smiling. Live your life so at the end, you're the one who is smiling and everyone around you is crying.


May we all be COFFEE!!!!!

Friday, May 22, 2009












Hawa tunaowaita Waafrika wenzetu kwa nini wanakua wagumu kuachia madaraka?