Friday, April 30, 2010

"WAKUU"
Tofauti yao ni nini na wenzao wa nchi za Afrika Magharibi?

Kumradhi kwa kubandika hizi picha, lakini nia si kuchafua hali ya hewa bali ni kuonyesha jinsi gani lugha zinavyotofautiana.  Huu ni mgahawa mmoja ambao uko pale Chicago na anwani yake ni 2900 West Belmont Avenue, Chicago, IL 60618. Wana mpaka na burger kwenye menu yao ambayo kwetu sisi ni matusi ya nguoni. Interesting....

Thursday, April 29, 2010Hivi ni kwa nini haturidhiki na ngozi yetu nyeusi? Au ule msemo wa "Black is Beautiful" maana yake nini?
Mashindano ya mbio za magari Afrika Mashariki!


Mchezo huu wa mbio za magari katika nchi zetu za Jumuiya ya Afrika Mashariki zina Historia ndefu kiasi, wengi kama mtamkumbuka Bert Sherkland(kama sikukosea) na kina Joginda Singh na wengineo wengi walikuwa kila mwaka wakichuana vikali katika barabara ngumu kupitika. Mojawapo ya mtihani mgumu ni vilima vya Usambara.

Wednesday, April 28, 2010

THE NGOMA AFRICA BAND KUWASHA MOTO 8-MAY 2010


Shamra Shamra za Wold Cup 2010 zinaripuka kila Kona ya duniani
FFU wa The Ngoma Africa Band kutumbuiza Munich! Ujerumani.

mahala: Pfarrheim,St.Joseph, Joseph Platz 1.M√ľnchen,Germany

Hile bendi mashuhuri ya mziki wa dansi uko ughaibuni,The Ngoma Africa band alimaarufu kwa majina ya kutisha tisha,kama vile FFU,wazee wa kukaanga mbuyu,

yenye maskani yao uko Ujerumani,watapereka mzuka wao wa dansi mjini Munich

au bayern Munchen,kusini mwa Ujerumani.ambako wamehalikwa kwenda kutumbuiza siku ya Jumamosi 8 may 2010,katika kusherekea "FIFA World Cup 2010" kwa mara ya kwanza mashindano ya kombe hilo kufanyika Afrika.

Jumuiya za mshirika mbalimbali yasio ya Kiserekali ,Kikiwemo chama cha urafiki kati ya wajerumani na tanzania,ndio walioandaa onyesho ilo uko Munich,ujerumani ya kusini,ambako ndipo mjio huo ndio makao makuu ya timu maarufu ya kandanda ya Bayern Muchen.

Washabiki wa kandanda na washabiki wa mziki wa mataifa mbali mbali watapata

bahati ya kujumuika na kujimwaga uwanjani kwa kusakata mziki wa dansi kutoka

kwao bendi ya "The Ngoma Africa Band".bendi ambayo imezoeleka na washabiki

kwa tabia za kuperekana puta na wa shabiki kwa kutumia mdundo wake wa dansi!

Ni juzi tu bendi hiyo mashuhuri iliachia singo CD yake mpya "Jakaya Kikwete 2010".

Kikosi cha Ngoma Africa band,kitarajiwa kutua mjini Munich kwa kazi moja tu!

nayo ni kuwapa burudani ya kukata na mundu washabiki!Burudani ya pata shika na nguo kuchanika,kila moja na wake!

Wakazi na washabiki wa Muchen aka Bayern Munich kaeni mkao wa kula

pia unaweza kusikiliza mziki wao at http://www.myspace.com/thengomaafrica

SURA MPYA YA DAR ES SALAAM!!Vijana "nguvu kazi" 21st century style!!!
Ebu tazama Kigali kunavyopendeza! Hivi ni kwamba sisi hii tabia na ustarabu wa kuweka jiji letu katika hali ya usafi imetushinda? Au usafi pia unahitaji misada toka nje?

Monday, April 26, 2010

UDUMU MUUNGANO NA MUNGU UIBARIKI
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Ingawa inakuwa ni rahisi sana kuukosoa au na hata kuutia shaka Muungano wetu, lakini tukumbuke ya kwamba UMOJA wetu ndio nguzo kubwa ya amani na utulivu tulionao. Labda pengine ni kutizama wapi kwenye upungufu ili tuparekebishe na kuimarika zaidi.

Mataifa makubwa na tajiri duniani yanaungana ili yaweze kuimarika zaidi, sasa iweje sisi wanyonge tuwe na mawazo ya kutengana? Tusiyaonee haya matatizo yaliopo ndani ya muungano wetu au kuyafumbia macho. Inatubidi tuyafanyie kazi kwa juhudi ili yasiendelee kutukera mara kwa mara! Wahasisi wa Muungano wetu hawakusema kwamba walimaliza kazi waliyoianza, walijua wazi kwamba jinsi siku zinavyokwenda na dunia inavyozidi kubadilika ni lazima kutaitajika mabadiliko ya  kimsingi ili kuuimarisha muungano.

HERI YA SIKUKUU NJEMA YA MUUNGANO!!

Saturday, April 24, 2010

 One of the best in Tanzania!!!Why do people do this? Hii sio heshima wala haina sababu ye yote!!Najua kama uko nje ya Bongo lazima mate yanakutoka...

Thursday, April 22, 2010

TUJIKUMBUSHE!Kabda ya Tanzania kulikuwa na Tanganyika na hizi ndizo stampu na bendera enzi hizo!!
A first class cabin to Kigoma... 
Kwenye miaka ya 1970's ulikuwa ukipanda first class ilikuwa ni kweli, maana walikuwa wanakutandikia mpaka kitanda na chakula unaletewa chumbani kwako! Sijuhi ni nini kilitokea...

Tuesday, April 20, 2010


My name is Gloria McCarthy and I will be representing Kenya in the upcoming Miss Africa USA scheduled to take place in Washington DC on July 24, 2010.
You may know me from the following organizations that I work with:

McBurney YMCA------------------ http://www.ymcanyc.org/index.php?id=1090

Touch Foundation----------------- www.touchfoundation.org/

Kenyan American Society----- http://www.kenyanamericansociety.com/

African Commission-------------- www.africancommission.org/

My reason for writing to you is because I am requesting kindly that you may vote for me on the link below. Voting started April 2nd, 2010.

http://www.missafricaunitedstates.com/finalists.php?inicio=9&cantidad=9&buscar=&cat=1

All you will have to do it:

Log on to the link provided

Register which takes 30secs

Then vote for me Gloria Lily Akinyi McCarthy.

VOTE EVERY 24HRS.

PASS THIS ALONG TO ALL YOUR FRIENDS AS WELL.

Thankyou very much for your support.

Sincerely

Gloria McCarthy.

Mzalendo mwenzetu, Rogers Mtangwa akiwa na matangazaji Kristal Hart Madison Square Garden. Tumpe hongera nyingi kwa hapo alipofikia na pia kwa kusaidia kuitangaza nchi yetu kwenye ulimwengu wa michezo!! Iko siku mzalendo huyu ataunyakuwa ubingwa na kutuletea sifa kemkem.

LEO FUNDI WA KOMBO INAKUTEMBEZA KWENYE BAADHI YA SEHEMU MAAFURU HAPA JIJINI YEW YORK!! Cenral Park

 New York Stock Exchange


 The Empire State Building


 Madison Square Garden


 The Trump Plaza Hotel


The United Nations