Saturday, March 31, 2012

NENO LA LEO!


Friday, March 30, 2012

DIAMOND MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVOR, HAITIKISA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU KATIKA SHOW YAKE MAALUMU ALIYOITWA DIAMOND ARE FOREVER. AZITOLEA PESA ZA WEMA SEPETU MCHUMBA WAKE WA ZAMAMNI.


Hapa akiimba mbele ya umati uliyo kuwepo ukumbini hapo kushuudia show hiyo.
Hapa Daimond akitunzwa na mpenzi wake huyo wazamani Wema Sepetu lakini kwa mshangao wa walio wengi ukumbini hapo hakuzipokea pesa hizo. Na watu walilipuka kwa mayowe kwa kitendo cha Diamond kuhutolea nje mshiko huo wakipenzi wake wazamani.
Mapaparazi kama kawaida wakipata picha za kumbukumbu za Wema Sepetu ambae nae alikuwapo ukumbini hapo kushuhudia show ya kipenzi wake huyo wa zamani.
Warembo wakifurahia manjo njo ya Diamond ukumbinia hapo hapa ni Bea wa Mt Vernon NY, na  Jokate wa Dar.


NENO LA LEO!

MAZISHI YA MAREHEMU DENIS OSWALD KAPINGA

Ndg. Joseph Oswald Kapinga

Ndugu Joseph Kapinga pichani hapo juu anapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuwa Ratiba ya mazishi ya mpendwa mdogo wetu Denis O. Kapinga yatafanyika leo Tarehe 29/03/2012 katika makaburi ya Sinza karibu na ukumbi wa mwika.

Ratiba itakuwa kama ifuatavyo:

Mwili wa marehemu utafika Nyumbani maeneo ya Sinza karibu na New White Inn Bar bara bara ya Sinza uzuri mnamo saa 6.00 Mchana kutoka Hospitali ya Mwananyamala.

Mwili utaagwa nyumbani saa 7.00 Mchana na baadae utapelekwa kanisa la Roman Catholic Sinza kwa Ibada.

Baada ya hapo Saa 8.30 Mchana mwili wa marehemu utapelekwa Makaburi ya Sinza kwenye nyumba yake ya milele.

"BWANA ALITOA NA BWANA

MKASI TV LEO NI RITA PAULSEN WA BSS.

Rita ni muhasisi wa Tanzania Bongo start search. Pata machache kutoka kwake.

Thursday, March 29, 2012

VIJIMAMBO 2ND ANNIVERSARY.


PICHA YA WIKI KATIKA UPANDE WA MICHEZO.


KIVAZI KILICHO TAMBA WIKI HII


MREMBO WA WIKI HII NI LINAH SANGA, WA DAR-ES-SALAAM


BAADA YA MAMBO KUWA MAGUMU KITI CHA UBUNGE WA ARUSHA MH DKT BATILDA S. BURIAN

Baada ya mambo kumwendea kombo katika kinyang'anyiro cha kugombe kiti cha ubunge katika jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya chama tawala cha CCM, na kupigwa kumbo na mgombea wa CHADEMA Mh Lema Dkt Batilda S. Burian apewa shavu la kuwa Balozi wa jamuhuri ya muungano Tanzania nchini Kenya. Picha akiwakilisha hati za utambulisho kwa Mh Rais Mwaki Kibaki. Rais wa Jamuuri ya Kenya, march 28, 2012.

TASWIRA YA DARAJA LA KIGAMBONI.

Wadau wakiangaria ramani ya mchoro huo wa daraja la kigamboni.   
Hivi ndivyo daraja hilo litakavyo onekana likiwa na uwezo wa kupitisha magari manne mawili kwenda mawili kurudi. Mpango utakao simamiwa na NSSF.

NENO LA LEO!
Wednesday, March 28, 2012

MWANAFUNZI ALIYETOA MANENO YA KIBAGUZI DHIDI YA FABRICE MUAMBA AENDA JELA SIKU 56.

Ninachokiona katika picha hii ni Police kujifunga pingu moja na mtuhumiwa Je ndo utaratibu wa police wa uko UK ?? au macho yangu tuu nimeipenda hii. Maneno yalimfikisha hapo alipo ni haya ‘LOL [laughing out loud], **** Muamba. He’s dead!!! #haha.’aliyo kuwa ameyaandika na kuyasambaza kwa kutumia Twitter. 

TABIA HII YA UKEKETAJI ITATOKOMEZWA LINI?

NDUGU Watanzania wenzangu, Serikali yetu imekuwa ikikemea suala hili la ukeketaji kila kukicha lakini cha ajabu na kushangaza bado kuna baadhi ya makabila yanaendeleza mira hii. Swali la msingi na lakujiuliza kwa wote nani ataweza kukomesha tabia hii ikaachwa mara moja ???

Waremboa Wakipozi na Linah Mwanamuziki Kutoka Tanzania Ambae Yuko Nchini Kwa Tamani Tour.


KIMENUKA USIKU HUU UKO JKT KAWE KWENYE ROYAL BAKERY BAADA YA WAJEDA KUVAMIA NA KUKOMBA PESA ZA MAHUZO YA SIKU MZIMA NA KUTOWEKA BILA KUKAMATWA.

Masikini dada wakazi katika babery hiyo akilia kwa uchungu, ingawa akujeruhiwa ukupolisi wa kituo cha kawe wakipata mahelezo juu ya tukio hilo lililo toke saa 3 za usiku. Kati na watu maharufu waliokuwepo katika bekary hiyo ni Dada Khadija Mwanamboka. Baada ya kuona pamenuka aliamua kujibana ndani ya gari lake kimya bila hata macho kufungua.

RAIS KIKWETE AFUNGUA WARSHA YA MIKAKATI YA KUONDOA UMASIKINI TANZANIA

<><>
Rais, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili ya mikakati ya kiuchumi ya kuondoa umaskini iliyoandaliwa na REPOA katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam, leo.
Profesa Do Duc Dinh, kutoka Vietnam akitoa mada ya jinsi nchi yake ilivyofanikiwa kuondoa umaskini wakati wa warsha ya siku mbili ya utafiti juu ya mageuzi ya kuondoa umaskini nchini Tanzania.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Profesa Ibrahim Lipumba, baada ya picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya siku mbili ya utafiti juu ya mageuzi ya kuondoa umaskini, nchini

LEO TUNAE JANUARY MAKAMBA KATIKA MKASI.

Msikilize Mh January Makamba katika mahojiano ya kipindi cha Mkasi alikuwa na haya ya kujibu kutokana maswali aliyo kuwa anaulizwa na Salama Jabir.

Tuesday, March 27, 2012

MWAKILISHI WA UNOPS NCHINI SIERA LEONE NDUGU OMARY MJENGA AKISALIMIANA NA RAIS KIKWETE WAKATI WA MAZISHI YA MKUU WA WILAYA YA LIWALE MAREHEMU VICTOR P. CHIWILE JANA KIBAHA.

Mmoja wa waombolezaji akimsalimia Rais Kikwete kwa kuibusi Pete yake, kulia ni Ndugu Omary Mjenga akishuhudia tukio hilo.
Rais akisalimiana na Ndugu Omary Mjenga jana walipokutana kwenye mazishi ya Mkuu wa Wilaya ya Liwale.
Ndugu Mjenga alikuwa Personal Secretary wa Rais Kikwete wakati alipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje kabla hajawa Rais.

Video mpya ya Shaa na wimbo wa Siri ya penzi.

Shaa ni Mdada anaekuja Juu katika Muziki wa kizazi kimpya ....Tanzania Bongo Flavor.....Hapa akija na video yake Mpya kabisa hiliyo tolewa wiki hii. pata vihonjo maridadi kabisa vilivyo pikwa na Mj Record, Mj Record ni Studio kongwe ilinayo ongozwa na mkongwe Master J, na Mc Chali.

Taswira Za Kampeni Za CCM Usa River

Bibi kizee wa Kijiji cha Lekitatu, Usa River wakifuatilia kwa makini mkutnao wa kampeni za CCM uliofanyika jana kwenye kijiji hicho.

NENO LA LEO!Msikilize Flaviana Matata katika maojiano na Salama Jabir katika kipindi chake kinachojulikana kwa jina la Mkasi, Tutakuwa tuna kuletea kila baada ya siku mbili watu mbali mbali.

Flaviana Matata ni Model anaefanya kazi zake za Umodel hapa New York City.

Monday, March 26, 2012

UTAALAM ULIOTUKUKA WA WEZI WA KWENYE MABEGI YA WATU KWENYE VIWANYA VYA NDEGE(AIR PORT)

Video hii inaonesha jinsi begi linavyo funguliwa hata kama limefungwa na kufuri.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA LIWALE HAYATI VICTOR PAUL CHIWILE LEO KIBAHA.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za Mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012.

KANUNI ZA CHAMA CHA WANAUME WANAOPIGWA NDANI YA NDOA TANZANIA (CCWWT)

Huruhusiwi kumuoa Mwanamke mpaka akuletee CV yake ili ukague kama shuleni alishiriki Michezo ya kurusha Tufe na Ndondi. Hii itakusaidia kumchagua mtu right!

Pili, Mwanamke anapoanza kukudunda unaruhusiwa kutuma please Call me kwenye 911 ya Police!

Tatu, Mwanamke haruhusiwi kumpiga Mwanaume akiwa Soba, ni lazima Mwanaume awe amelewa ndo umdunde ili kuepusha Maumivu ya dhati.

Nne, Kwa kuwa wanaume wanaopigwa na wake zao huwa wanadanganya Ofisini kwamba wameanguka au wamekabwa na vibaka, tumegundua huo uongo umepitwa na wakati kwa hiyo Chama kimeamua kuwaajiri waandishi wa script za Filamu za Kibongo ili wasaidie kuandaa Uongo mpya!

Tano, Kanuni nyingine ni kwamba kila Mwanaume unapopigwa, nenda ukweni upunguze kitu kimoja kwenye Mahari uliyotoa. Kama ulitoa Mahari ya Ng’ombe 10 baada ya Vipigo tisa tunategemea kitakuwa kimebaki kipigo kimoja tu umalizie Ng’ombe wako wa kumi na ndoa kwisha!

Sita, Marufuku kwa Mwanamke kumpiga mme wake kwenye Foleni unless gari liwe na vioo vya Giza, tinted! Lakini ikitokea ulazima, Mwanaume ukipigwa kwenye gari lisilo na tinted jifanye unacheza ile style ya Busta Rhymes katika wimbo wa Arab Monay!

Saba, Kwa wakati huu ambapo kuna mgao wa umeme, kwa hivyo redio na TV zinakuwa zimezimwa, ni marufuku kwa Mwanamke kumpiga Mmewe kwa kuwa Sauti zitaenda mbali.

Nane, Mwanaume unapopigwa ni lazima kulia kwa kutaja jina la Chama na sio ulie Mamaaa!

Tisa, Mwanamke unatakiwa unapompiga mmeo iwe ni mwisho wa mwezi au tarehe kama hizia ili jioni asirudi na awe na pesa ya kusogeza katika mbili tatu baa ya jirani.

Na Kanuni ya Mwisho ni lazima siku ambayo mama umepanga kumpa Kipigo Baba, watoto wote wawe wamepelekwa kwa Bibi kwa kisingizio cha kwenda kusimuliwa hadithi za kale!

Hizo ni Kanuni 10 za Katiba ambayo bado ni Rasimu na una nafasi ya kuongeza Kanuni nyingine kupitia namba 0786 000884 na utajibiwa na Mwenyekiti Paulo James au Katibu Gerald Hando! Barbara ni shahidi tu! Ova!

Imeandaliwa na Detective, Chairman wa CCWWT - PJ na Katibu Gerald Hando kwa niaba ya wanachama wote wa CCWWT.

MWANAFUNZI WA AKIFUATILIA KAMPENI ZA VYAMA UPINZANI VINANYO ENDELEA UKO MAJI YA CHAI ARUSHA.

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Ngongongare , maji ya chai akifuaia kwa umakini kabisa mkutano wa adhala wa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM bwana Sumari. Wewe na mimi tungependa sana kujua nini anacho kiwanza ndani ya kichwa chake.
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa Ngarosero, kata ya Usa River jimboni humo. 

KABWE ZUBERI ZITTO, MP KIGOMA KASKAZINI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kampeni ya kupunguza umri wa urais haina uhusiano na mimi kutaka kugombea urais 2015.

NENO LA LEO!Tiger Woods snapped the longest winless drought of his career with a dominating five-shot victory over Graeme McDowell at the Arnold Palmer Invitational.
It marked the first PGA Tour victory for Woods in 30 months, ending a winless spell that coincided with the personal turmoil that followed a 2009 sex scandal.
"It's not like winning a major championship or anything," Woods said. "But it certainly feels really good."
Woods drained a short par putt on the par-four 18 to complete his round of two-under 70 and post a 13-under 275 total at the Bay Hill Club and Lodge course.
"It was just pure joy," Woods said

Sunday, March 25, 2012

THE 2ND ANNIVERSARY OF VIJIMAMBO BLOG.Kumbe tofauti hatuna...!

HOUSE BIRTHDATE PARTY YA BAHIA YA FANA USIKU WA JUMAMOSI NYUMBANI KWAO BROOKLYN, NY

 Bahia akiwa na CAKE yake ya Birthday, hapa akiwa nyumbani kwao huko Brookyn, NY.
Maakulati yakiendelea


Muziki baada ya maakulati
Picha ya pamoja baada ya mpango mzima kukamilika..Hongera dada Bahia kwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa.

FROLA MBASHA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA TANZANIA ATUA MAREKANI.

Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar (kushoto) akipiga picha ya pamoja na mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo Washington, DC.

Frola Mbasha akiwa katika Studio za VOA akifanya maojiana na watangazaji wa Studio hizo.
Frola akiwa na baba mwenye nyumba wake Bwana Mbasha Nje ya Jengo la Ubalozi wa Tanzania DC.

SIMBA YA UNGURUMA TAIFA.....


Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (aliyeruka juu, jezi namba 25) akipiga kichwa kuelekea langoni mwa ES Setif. 
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wameirarua ES Setif kutoka nchini Algeria kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi pamoja na Felix Sunzu.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog.

Saturday, March 24, 2012

BUSI LA NAJMUNISA LIKITEKETEA KWA MOTO JIONI YA LEO MKOANI MOROGORO.

Basi lifanyalo safari zake kutoka Dar Mwanza, Ajali hiyo ulitokea katika kijiji cha Berege Mkoani Morogoro, Chanzo cha moto huo kinasemakana kuwa hitilafu ya Betri ya gari Abiria wote walitoka salama, Hila mizigo yao yote iliteketea kwa moto huo.

Abilia na watu wengine wakishuhudia moto huo unavyo liteketeza basi hilo, bila msahada wowote.

Kutana Mao Production & VjDaveNy@Alamo Kila Jumamosi Kwa Muziki Wa Bongo Flavor Na Ndombolo, Address 166 Gramatan Av, Mt Vernon, NY 10550. Free Admission Kuanzia Saa Nne Usiku hadi Saa Kumi Alfajili.


Dj Mao Njuma Ya Dj mashine akiwa tayari kwa kuwapa wapenzi wa muziki kitu roho inapenda.
Mtanzania yeyote ukiwa ndani ya New York Hii ndo sehemu ya kukutana na watanzania wenzako na kukumbushia mambo ya nyumbani. Chini Watanzania wakicheza mduhara mambo ya kidole juu...!!!
Ni Alamo pekee Na Dj Mao...&...VjDaveNy.......