Sunday, March 25, 2012

SIMBA YA UNGURUMA TAIFA.....


Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (aliyeruka juu, jezi namba 25) akipiga kichwa kuelekea langoni mwa ES Setif. 
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wameirarua ES Setif kutoka nchini Algeria kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi pamoja na Felix Sunzu.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog.

No comments:

Post a Comment