Saturday, July 31, 2010

Singo CD "Jakaya Kikwete 2010" kutoka kwao "Ngoma Africa Band"

IMESHATUA NCHINI KWA KISHINDO NA NGUVU ZAIDI !!!

PATA KOPI YA CD KWA KWA ANKAL MICHUZI

Hayawi !Hayawi ! Yamekuwa hile CD inayozungumziwa na washabiki wengi kila kona duniani sasa imeshatua nchini ,CD hiyo yenye jina "JAKAYA KIKWETE 2010" Kutoka kwao  "The Ngoma Africa Band" yenye maskani yake uko Ujerumani,Sasa unaweza kupata kopi za CD hiyo kwa ANKAL Muhidin Issa Michuzi aka Mzee wa Libeneke,kwa simu 0754271266 wa blog ya  kimataifa ya jamii.

Pia kwa yeyote yule anayetaka atumiwe mp 3 au kuweka nyimbo hizo katika mlio wa Simu za viganjani tafadhali usisite kuwasiliana na Ankal Michuzi kwa simu namba 0754271266 CD hiyo yenye mziki mtamu
unaosindikiza ujumbe muhimu kwa watanzania zaidi ya milioni 40 sasa CD hiyo ipo nchini na unaweza kupata kopi yake kwa kupiga katika sherehe ,mitaani,katika biashara yako,ndani ya mabasi,harusini,sokoni n.k
hili upate raha na ujumbe uliomo katika CD "Jakaya Kikwete 2010" utunzi wake Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja wa FFU wa Ngoma Africa Band. Pia Jumamosi ya 31-07-2010 saa 4 hasubui Ras Makunja atahojiwa na radio Free Africa ya mwanza tafadhali tega sikio.


Kida Waziri arudi tena uwanjani!

Ni mmoja ya wanamziki wanawake wachache sana ! ambao wamezaliwa na vipaji mwanadada Kida Waziri,  maarufu kama "Stone Lady" ambaye ana sauti ya kumtoa nyoka pangoni!.

Mwanamziki Kida Waziri ni mjukuu wa Mshairi maarufu barani Afrika marehem Shaban Robert, pia ni mtoto wa aliyekuwa mwanadiplomasia miaka ya 70s na 80s balozi Bw.Waziri Juma.

Habari za uhakika zinasema kuwa Dada Kida Waziri karudi umpya katika ulimwengu wa mziki baada ya kumpumzika kwa miaka,Mwanamziki Kida Waziri "Stone Lady" ambae amerudi na Album ya nyimbo 6,ambayo inamziki uliojaa mdundo na sauti ambayo ni almasi tupu.....

Labda ungependa kuwa moja ya wadhamini ,au Kufanya Kazi na mwanamziki huyo Kida "Stone Lady" Waziri.

Mwanadada huyo yupo tayari kupiga Tour ya ndani na nje ya Tanzania anapatikana kwa simu namba 0754697114 ukipiga nje ya Bongo Tel. + 255(0)754697114

Friday, July 30, 2010

Maswali ya Jino kwa Jino !
Radio Free Africa ya mwanza ! na Ras Makunja kamanda wa Ngoma Africa Band!

Radio Free Africa ya Mwanza ! Yawaletea mahojiano maalumu

Na Ras makunja kamanda wa Ngoma Africa Band siku ya

Jumamosi 31-07-2010 saa 4 hasubui

Habari za uhakika zinaeleza kuwa kituo cha Redio Free Africa kinachorusha matangazo yake mjini Mwanza, kitafanya mahojiano na Mwanamziki mashuhuri Ebrahim Makunja alimaarufu kama Ras Makunja kamanda wa ffu! wa bendi maarufu barani ulaya "The Ngoma Africa Band" yenye makao yake Ujerumani.

Mahojiano hayo yataanza saa 4 hasubui siku ya jumamosi 31-07-2010 katika kipindi maalumu ambacho mtangazaji wa redio hiyo Prince Baina Kamukulu ataongoza timu ya kumlima maswali Ras Makunja,mwanamziki ambaye ametajwa mara nyingi na vyombo vya habari vya ndani na nje nchi kuwa ni mtunzi mwenye hoja nzito kwa jamii,mara nyingine nyimbo zake utoa cheche za moto na kuwafanya walengwa wanao perekewa ujumbe wasipate usingizi!

Radio hiyo itamrusha hewani Live Ras Makunja, ambae ndie mpishi wa nyimbo nyingi ikiwemo CD yao mpya "Jakaya Kikwete 2010" CD ambayo imeshaingia nchini na inaweza kutingisha anga wakati wowote!

Wasilizaji zaidi ya milioni 200 wa afrika mashariki na kati wanatarajiwa kusikiliza mahojiano hayo ya Radio Free Africa na Ras Makunja,mahojiano ambayo yanatabiliwa kuwa yatakuwa ya "Jino kwa Jino" au "Jicho kwa Jicho" wewe msikilizaji usikose kuyanasa mahojiano hayo kambambe.

Thursday, July 29, 2010


KUNGUNI TATIZO KUBWA MAJUU!!!



The Best Bed Bug Exterminator In New Jersey, New York City, Connecticut, and Long Island, NY
New Effective Cryonite® Bed Bug Freezing Treatment Available Now at Stern Environmental

Imani zetu ni kwamba huku kwa wenzetu tunakokuita "MAJUU" ni sawa na peponi na hivyo basi hutegemei kukutana na vitu au mambo yalioko kwetu Afrika. La hasha!! Huku majuu kama ilivyo Afrika yetu kuna Wajinga, Masikini, Wavivu na kina namna ya ghasia.

Neno "Kunguni" kule kwetu linahusishwa na hali ya umasikini na uchafu, lakini kwa taarifa zenu ni kwamba kunguni ni tatizo kubwa sana haswa hapa katika jiji la New York mpaka imeamuliwa iundwe "task force"  ya kupambana na kero hili.

Tuesday, July 27, 2010

Thursday, July 22, 2010

Kobe akiwa amelikumbatia kombe wakati wa maandamano ya ushindi wao pale LA Juni 21. Swali kubwa kwa sasa ni kwamba, je! mwakani kombe hili litarudi tena LA au ndio litaamia Miami?

KILI NI BAB KUBWA!!!!

Gabriel Obertan wa Manchester United akishangilia baada ya kufunga bao katika dakika ya 76 walipocheza na Philadelphia Union. Manchestar United wako ziarani nchini Marekani kwa mechi kadhaa na timu mbalimbali. Mechi hiyo ya tarehe 21/7/2010 ilikwisha kwa Manchester United kupata ushindi wa bao moja bila.

Tuesday, July 20, 2010

FREE ADVERTISEMENT !!!


Hii nadhani inawezekana katika Afrika yetu pekee kwa makampuni makubwa kutangaza biashara zao karibu na bure kabisa. Sidhani  kama huyu mwenye haka kaduka analipwa chochote kwa matangazo zaidi ya kumi kuwa mbele ya kaduka kake!
What do you think...?
Funny!! Soma tangazo lote vizuri...

Sunday, July 18, 2010



Je! Unamkumbuka Abdulrahman M. BABU?

NELSON MANDELA TURNS 92!!


South Africa's first black president Nelson Mandela has turned 92 years old, as the world celebrates the first international day in his honour.

Global leaders and ordinary people in South Africa and abroad have committed to devoting 67 minutes of their time to community service, to mark the number of years Mr Mandela spent in politics.

His birthday was in 2009 recognised by the United Nations as Nelson Mandela International Day and will be celebrated across the world.

The increasingly frail leader is spending the day with family at his Johannesburg home.

Local politicians united in wishing the anti-apartheid icon well on his birthday, with international leaders hailing his contribution to global politics and the fight for human rights.

"President Mandela has given 67 years of his life, now what we all could do is try to use 67 minutes of our lives, and change the world for the better," former Finland president Martti Ahtisaari said.

Mr Ahtisaari is a member of The Elders, an independent group of eminent global leaders formed by Mr Mandela in 2008.

Mr Mandela was jailed for 27 years by the country's white minority government for resisting apartheid rule.

On his release in 1990, he led negotiations with apartheid rulers, a process that culminated in his election as the country's first black president in 1994.

US secretary of state Hillary Clinton described Mr Mandela as a hero to people of all backgrounds. "His story is filled with an amazing strength and integrity of spirit. There is no one more deserving of this unprecedented international recognition," she said."I am delighted to offer him my warmest wishes on this special day."

Mr Mandela has made few public appearances since he retired from public life in 2004. Last week he arrived at the World Cup closing ceremony to wave at adoring football fans before the final match kick-off. He did not stay for the game. He had campaigned for the country to host the event, but the death of his great-grandchild on the eve of the tournament's opening forced him to cancel his planned appearance.

His family said a group of nearly 100 children from villages around his childhood home in the rural Eastern Cape province would spend the day with him.



Friday, July 16, 2010

Monday, July 12, 2010


Kampala yaingiza dosari  shamrashamra za kombe la Dunia Afrika, kwatoke milipuko ya mabomu kwenye mkusanyiko wa watu waliokuwa wakiangalia mechi na wengi kuuwawa na kujeruhiwa!!

SPAIN GRAB WORLD CUP WITH EXTRA-TIME GOAL


Spain stunned the Netherlands to win their first World Cup on Sunday in sensational fashion with a goal in the last minutes of extra time. With the scoreless match inching toward a  penalty shootout, and the Netherlands down to 10 men, Andres Iniesta collected a pass from Cesc Fabregas to fire home from close range and break Dutch hearts four minutes from the final whistle.

It was the first time the European champions had reached a  World Cup final and a bitter disappointment for the Netherlands who finished runners-up for the third time after previously losing the 1974 and 1978 finals. It was also the first triumph by a European side outside their continent.

The result caused agony in the Netherlands and ecstasy in Madrid where fans shed tears of joy and fireworks went off all over the city. More than 10O,000 people had gathered to watch on giant screens and many went hoarse with screams of joy. In contrast, Dutch cities became deadly silent as their dream of finally winning the  trophy evaporated. Some 180,000 fans trudged away quietly from Amsterdam's museum square.

The game was far from the classic final to Africa's first World Cup that many had hoped for from the two most impressive teams in the tournament. Spain looked dominant for long passages but a ferociously physical  Netherlands broke up their rhythm and their renowned precision passing in midfield, often reducing the game to a sterile stalemate.

BRUISING ENCOUNTER
In a bruising encounter in the huge Soccer City stadium, referee  Howard Webb showed 13 yellow cards -- a record for the final -- and sent off Dutch defender John Heitinga in extra time.

Despite the disappointing quality of the match, it was a triumphant end to a highly successful tournament for
South Africa who confounded years of pessimistic predictions that it would be ruined by violent crime and chaos.To cap their pride,

Nelson Mandela, much loved father of post-apartheid South Africa, briefly toured the pitch waving to the 85,000-strong crowd just before the match began. Mandela, 91, who is in frail health, was driven around in a golf cart surrounded by bodyguards and greeted by an adoring crowd chanting his clan name Madiba. The former president, who led South Africa out of apartheid in 1994, was unable to attend the opening ceremony because of the death of his great grand-daughter in a car accident the night before.

Spanish coach  Vicente del Bosque told television: "It was a very difficult match. We have fantastic players. We could have scored another goal or two. But I think the result was deserved. It's a very happy day for me."

Dutch coach Bert van Marwijk said the better team had won in the end: "It is very sad. These three or four final minutes and then you lose. I really had thought even with 10 we would be able to do the penalty shoot out. "It is bitter but that is sport. It is harsh." Both sides missed good goalscoring opportunities, most notably Dutch winger  Arjen Robben who was twice denied by brilliant saves from Spanish goalkeeper Iker Casillas.

TELEVISION AUDIENCE
FIFA said a worldwide television audience of more than 700 million had been expected to watch the final.

The victory will raise spirits in Spain which is torn by bitter political infighting over how to address Europe's highest unemployment and crippling debt.

Despite being the first host nation knocked out at the group stage,  South Africans have remained enthusiastic spectators, helping this tournament to be the third best attended, with three million seats sold, behind the United States in 1994 and Germany in 2006. President Jacob Zuma dubbed them true champions.

Chief local organizer Danny Jordaan said the tournament had brought the races together and enabled South Africans to walk tall after being told for years they were inferior. But African joy at a tournament credited with rebranding both South Africa and the continent was blighted by two bomb blasts in the Ugandan capital Kampala that killed at least 23 people watching the final in bars, police said. There was no immediate claim of responsibility.

Sunday, July 11, 2010

Spain

Netherlands

Yakiwa yamesalia masaa machache kuanzia sasa, karibu wapenzi wote wa soka Duniani wataelekeza macho na masikio yao kule Afrika ya Kusini ili tu kutaka kushuhudia ni nani atakuwa bingwa wa kandanda Duniani 2010 kati ya Spain na Netherlands. Utabiri wa blogu hii hapo awali uliipa Spain ubingwa....

Afrika ya Kusini inastahili pongezi za dhati kwa yale yote waliyoweza kuyafanya kuhakikisha kila aina ya mafanikio kwa mashindano haya makubwa duniani, kinyume cha wengi ambao walidhani kutatokea kila aina ya mushkeli kama vile kuchelewa kwa ujenzi, ualifu, fujo na mengi mengineyo.
HONGERA AFRIKA YA KUSINI, HONGERA AFRIKA!!!!!