Thursday, July 22, 2010

Kobe akiwa amelikumbatia kombe wakati wa maandamano ya ushindi wao pale LA Juni 21. Swali kubwa kwa sasa ni kwamba, je! mwakani kombe hili litarudi tena LA au ndio litaamia Miami?

3 comments:

  1. May be thre are some who cares! Usichokipenda wewe ujue wenzio wanakipenda!

    ReplyDelete
  2. Chuki za nini? Hasiyekubali kushindwa si mshindani!

    ReplyDelete