Saturday, January 31, 2009


Madau yanaonekana yakijitarisha kutia nanga Ngome Kongwe, Zanzibar.
Mwanadada Serena Williams akichekelea na kombe la ushindi baada ya kumshinda Dinara Safina wa Urusi kwenye mashindano ta tenisi Melbourne, Australia jana.

HISAPEPE.COM
HISAPEPE.COM
hisapepe.com

Friday, January 30, 2009

ZIMBABWE OPPOSITION PARTY TO JOIN UNITY GOVERNMENT:
Zimbabwe's main opposition is headed into a unity government within weeks, bowing Friday to pressure to conclude a deal with a president it considers a brutal dictator so that a spiraling humanitarian crisis can be tackled.
The U.N., meanwhile, reported that Zimbabwe has suffered more than 60,000 cholera cases since August, surpassing what experts had said would be a worst-case scenario.
As those figures emerged, opposition leader Morgan Tsvangirai was meeting in the Zimbabwean capital with top aides to discuss a recommendation from regional leaders that a coalition agreement stalled since September finally be implemented.
"We have decided to abide" by the regional leaders' resolution, Tsvangirai told reporters after his meeting. "We are committed to joining the government of national unity and hope that (President Robert Mugabe's party officials) are going to treat us as equal partners."
He added: "Let us make no mistake, by joining an inclusive government, we are not saying that this is a solution to the Zimbabwe crisis, instead our participation signifies that we have chosen to continue the struggle for a democratic Zimbabwe in a new arena."
A Tsvangirai-Mugabe political marriage will be rocky.
The two have clashed repeatedly over the years, and Tsvangirai has been beaten and jailed by Mugabe's regime. In 2007, police attacked him after he held an opposition meeting the government had banned. Images shown on news broadcasts around the world of Tsvangirai's bruised and bloodied face came to symbolize the challenges his movement faced.
Some of Tsvangirai's allies say he never should have agreed to serve as prime minister in a government that left Mugabe as president. Mugabe, meanwhile, was under pressure from aides in the military and government who don't want to give up power and prestige to the opposition.
Preparing for new elections is among the main tasks of the unity government. Tsvangirai won the most votes in a presidential race almost a year ago, then withdrew from a runoff against Mugabe because of state-sponsored violence against opposition supporters.
The opposition had earlier insisted there would be no coalition until a dispute over how to fairly share Cabinet and other posts was resolved after Mugabe insisted on keeping the most powerful posts for his ZANU-PF party. The opposition also had wanted attacks on dissidents to stop.
Mugabe's party and leaders of neighboring countries have said the opposition should first enter the government, then resolve outstanding issues. With Friday's decision, the opposition adopted that strategy.
After an all-night summit, the main regional grouping on Tuesday had called on Zimbabwe's factions to swear in a prime minister, the post Tsvangirai is to hold in the unity government, on Feb. 11. Mugabe, in power in the southern African country since its independence from Britain in 1980, was to remain president.
The opposition faced the threat Mugabe would take the regional leaders' recommendation as license to simply form a government without Tsvangirai and the pressure from neighboring countries. Neither may have weighed as heavily as a sense that their country was in urgent need of a political solution so it could address a growing humanitarian crisis. Mugabe is accused of presiding over his country's economic collapse.
"Now is the time for us to put aside our political differences, to prioritize the welfare of the people in both our policies and our actions and to focus on stabilization, development, progress and democratization," Tsvangirai said Friday.
Mugabe had faced sharp criticism from the West. But, for the most part, African leaders have stood by one of their own.
Kenya's Prime Minister Raila Odinga, long one of the few African leaders to criticize Mugabe, repeated calls on him to step down Friday. Senegalese President Abdoulaye Wade, who joined Odinga on a panel at the World Economic Forum in Switzerland, said Mugabe could come to Senegal if he did go.
Instead, Friday's opposition decision means Mugabe will cling to his post, albeit with curtailed powers.
In Washington, State Department spokesman Robert Wood told reporters Friday that the United States is "a bit skeptical" because Mugabe has shown no previous willingness to share power.
" These types of things have been announced before, and the key is always implementation." Wood said. "What's important here is actions and not words, and we want to see real, serious power-sharing by the Mugabe regime.
Former U.N. chief Kofi Annan, meanwhile, said African leaders erred last year by failing to support their own observers who ruled that initial elections in favor of Tsvangirai were free and fair, and the subsequent runoff was not.
"It was a missed opportunity to reaffirm democracy," he said.
The United Nations said Friday that cholera has sickened 60,401 Zimbabweans and killed 3,161 since August. Experts had predicted the crisis would peak at 60,000, but Elisabeth Byrs, a spokeswoman for the U.N. humanitarian affairs agency, said Friday: "Unfortunately, the outbreak is not under control yet."
The collapse of Zimbabwe's health and sanitation infrastructure under the weight of hyperinflation has made it difficult to contain cholera. Humanitarian groups also are battling a hunger crisis. The U.N. food program said Thursday that 7 million Zimbabweans — 80 percent of the population by some estimates — need food aid.
"We made the earlier prediction (of 60,000 cases) based on the assumption that half the population was at risk," Dr. Dominique Legros, a cholera expert with the World Health Organization, told The Associated Press Friday. "We considered that the absolute worst-case scenario based on our experience in other countries."
He added that with the number of infections still rising, making a prediction on when the crisis might be brought under control was very difficult.
___
Inafurahisha kusikia kuwa Wakongo wanapiga hatua ya kuwa na amani nchini mwao. Jana majeshi yaliyokuwa yakipingana na serikari yaliunganishwa na majeshi ya serikali na kitendo hicho kilifanyika kwa wapinzani hao kuvishwa magwanda ya jeshi la Kongo na kukaribishwa kwa furaha kama inavyoonekana kwenye picha.

Je! Unamjua huyu? ......Fisadi wa Illinois.








Ujenzi katika sehemu ambayo kwa sasa ujulikana kama "Ground Zero" zinaendelea vizuri na pengine ifikapo Septemba mwaka huu, hatua ya kwanza ya ujenzi huo itakuwa imekamilika, baada ya kukamilika kwa jumba la makumbusho ya maafa ya Septemba 11. Pichani ni sehemu hiyo ya jumba hilo la makumbusho likianza kupata sura.


Thursday, January 29, 2009



Mchezaji Mbrazili, Robinho, anayecheza mpira wa kulipwa huko Uingereza, Jumatano hii (01/28/2009) alikamatwa na polisi na baadae kuachiwa huru kwa mdhamana kwa kosa la kubaka kwenye sehemu moja ya starehe Jijini London.
Wanunuzi wakiwa wanapita kwenye sehemu ya duka iliyo tupu mjini Harare. Hii ndio hali halisi ilivyo nchini Zimbabwe lakini wao(wakubwa) wako kwenye siasa zisizo na mwelekeo.

Jamaa akiwa na mshangao kwamba noti yake ya Dola billioni 50 haiwezi kumtoshelezea kukidhi mahitaji yake ya siku moja.


Baada ya wakuu wa SADC kukutana huko Afrika ya Kusini hivi majuzi ili kujaribu tena kutaka kufikia muafaka kuhusu kuchangia madaraka nchini Zimbabwe, nasikia eti hakukuwa na mafanikio na Jongwe bado ni Jongwe. Maoni ya walio wengi ni kwamba hawa ndugu zetu wa Afrika ya Kusini huenda ikawa ndio wanaompa kichwa ngumu huyu mzee. Tazama Rais Kgalema Motlanthe na mwenzake walivyoshikana mikono...

Mchezaji nyota wa zamani wa Argentina, Diego Maradona, ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya nchi hiyo akionyesha umaarufu wake katika kulisakata kandanda wakati wa kampeni mojawapo ya kutaka Rais Hugo Chavez wa Venezuela aendelee kugombea Urais hata kama kipindi chake kimekwisha.



Mchezaji kiungo wa Ac Milan, David Beckham(kulia) na mwenzake Kaka(toka Brazil) wakiufukuza mpira wakati timu yao ilipocheza na Genoa na kufungana 1-1 katika uwanja wa San Siro Station Jijini Milan.

Mwanadada Serena Williams toka Marekani akifurahia ushindi wa kuingia nusu-fainali baada ya kumshinda Elena Dementieva, huko Melbourne, Australia leo katika mashindano ya(Australian Open Tennis Championship).

Wednesday, January 28, 2009

Huyu ndiye Dj Tahir Bilal ndani ya Jiji la New York akiwa anafanya vitu vyake. Ukiwa na shughuli yako ( Mkeka, Harusi, Birthday n.k.) wasiliana nae kwa simu nambari 917-528-7975.


Watani wetu wajadi waliuchukulia ushindi wa Rais Barack Obama kwa kishindo mno. Mara baada ya ushindi huo wa kihistoria siku hiyo ya Novemba 4, wenzetu waliamua kutengeneza kinywaji cha bia walichokiita "President" kwa kumpa heshima Bw. Obama. Pichani juu jamaa anaonekana akiwa katika hatua ya mwisho kabla ya usambazaji.

Tuesday, January 27, 2009


Je! Hii ni sawa? Wapi? DRC...

Wazimbabwe wakipokea msaada wa chakula toka Marekani.



Inasikitisha!! watoto wanapata mlo kwenye kambi moja katika Jimbo la Darfur, Sudan.

MAUAJI YA ALBINO

Hatua ya viongozi wa serikali yetu kulizungumzia na kulikemea tendo hovu na la kinyama la mauaji ya ndugu zetu wa Kialbino linapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania. Kwa maoni yangu, tendo hili ni janga kubwa nchini mwetu na linastahili kila kipaumbele.
Inasikitisha sana kuona kwamba nchini mwetu bado tunao watu wenye imani pungufu za kishirikina/kichawi ambazo ndio chimbuko hasa la balaa hili. Yeyote anaeamini kwamba kwa kumchinja au kumjerui binadamu mwenziwe kwa minajili ya maendeleo yake kimaisha, basi mtu huyo hastahili kabisa kuwa kwenye jamii yetu na inabidi yeye ndie atokomee wa kwanza.
Wanaotenda matendo haya ya kinyama, si ajabu tunawajua kwani wanaishi nasi kwenye jamii na hatuna haja ya kuwafumbia macho na kuwaonea haya. Tuwafichue na sheria kali zichukuliwe zidi yao. Jamii nzima ni lazima iwaunge mkono Albinos, kwani hawa ni ndugu zetu awe kaka, dada, baba, mama, n.k. Hawakuchagua kuzaliwa hivo walivyo na hawana kasoro ya kusababisha kunyimwa haki zao za kuishi bila woga.
Ushirikina kamwe hautatuletea maendeleo, yawe kwa mtu binafsi, kundi la watu au nchi, bali ni juhudi na maarifa tuliyonayo. Tunaviomba vyombo vyote vya habari kuwa mstari wa mbele kwenye vita hii na viongozi wetu kuendelea kulikemea tendo hili.

Monday, January 26, 2009


Kesi ya Thomas Lubanga, aliyekuwa kiongozi muasi ya majeshi yanayopigana Congo, imeanza kusikilizwa leo huo The Hugue katika mahakama ya Kimataifa. Picha ya juu anaonekana akiingia mahakamani(01/26/2009) na ya chini akiwa kijijini Barriere, Congo akizungumza na wanakijiji(06/05/2003).


Balozi mpya wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa, Bi. Susan Rice, leo amewakilisha utambulisho wake kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon. Pichani juu anaonekana akijibu maswali toka kwa waandishi wa habari mara baada utambulisho. Bi. Rice aliwahi kuwa katibu msaidizi katika wizara ya mambo ya nje inayohusika na masuala ya Afrika wakati wa uongozi wa Rais Clinton. Yeye atakuwa ni mwanamke Mmarekani mweusi wa kwanza kushika nyadhifa hiyo ya ngazi ya juu kwenye Umoja wa Mataifa.

Jacob Zuma .... Je! yuko tayari kuiongoza Afrika ya Kusini au ni mwingine mwenye kutaka kuleta matatizo?

Sunday, January 25, 2009


Mojawapo ya hoteli nzuri jijini Dar ni hii ya Movenpic, ambayo imesaidia sana kupendezesha sehumu hii ya kajiji ketu. Ukuaji wa jiji letu ni muhimu na ni jambo zuri hasa ukuaji huo ukienda sambamba na upatakaninaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, uzoaji wa takataka na maji machafu n.k.

Omba omba kwenye mji mmojawapo Marekani.

Msongamano wa magari ni tatizo katika miji mingi duniani. Pichani ni udhibitisho huo pale Los Angeles, California ambako msongamano ni karibu kila siku na husababisha hata uharibifu wa mazingira kutokana gasi ya moshi itokayo kwenye magari hayo. Katika miji yetu mingi kumekuwa na ongezeko kubwa la magari bila ya kuwa la namna ya kupambana na ongezeko hilo. Hili lisipotizamwa vizuri linaweza kuwa tatizo sugu kama la Los Angeles.

Jiji la Kuala Lumpar, Malasyia na yanayoonekana kwa mbali katikati ni yale majumba yaliyokuwa yanaongoza kwa urefu duniani.

Saturday, January 24, 2009

Wakati dunia inaonyeshwa picha hii, tulikuwa na matumaini kwamba kwa sasa Zimbabwe mambo yana muelekeo...kumbe!! Uhakika zaidi wa hali ilivyo kwa sasa unaonekana katika picha hii. Sura ya ndugu Mugabe ukiilinganisha na wengine katika picha ni ya unafiki mtupu. "I think he was just playing games."



Flavian akiwa amefurahiswa na jambo fulani!

Rais wa kumi na sita wa Marekani, Abraham Lincoln, ndiye ambae Rais Obama amemfuatilia sana mwenendo wake(nyayo) na hata kuamua kutumia bibilia aliyoitumia Lincoln wakati wa kula kiapo.

Bingwa wa ndondi wa zamani wa uzito wa juu Mohamed Ali na mkewe wanavyoonekana kwa sasa. Hii ilikuwa ni mwezi huu wa Januari walipokuwa wakitunikiwa zawadi kwa heshima yao.
President
Barack
Obama
Inaugaration
Jam
WITH
CLUBSERENGETI AND Dj
MAO
Saturday January 24th
8pm 'til ...
@
THE ALAMO
166 Gramatan Ave
Mt Vernon, NY 10550

(We'll also be showing the
Mosley Vs Margarita fight
LIVE)
Wadau hivi itakuwaje kama unakutana na paka kama huyu usiku? Je! utafikiria ni ushirikina au utaona ni jambo la kawaida?


Habari za kukamatwa kwa Nkunda ni za kutia moyo, lakini tusubiri tuone kama kweli kutakuwa na amani ya kudumu ili hawa ndugu zetu wasiendelee kuteseka. Kila ninapoziona sura za hawa watoto siachi kuwafikiria wanangu... hawastahili kabisa kuwekwa katika hali kama hii!!

Friday, January 23, 2009


..............VUTA SUBIRA......INAKUJIA PUNDE.......
..............Jiandae Februari 1, 2009.............
wasiliana nasi kwa barua pepe info AT hisapepe Dot Com
Coming Soon....Live on 1st February 2009
Contact Us: info AT hisapepe Dot Com
Kivazi cha KANGA ndani ya Jumba Jeupe(The White House).

UTANI WA KIKENYA

1.Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2.Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3.Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4.Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5.Baba yako ni fala, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7.Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8.Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9.We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

Congolese Tutsi rebel leader Laurent Nkunda was arrested in neighbouring Rwanda, the chief of police in the Democratic Republic of Congo said in a statement on Friday.
The DR Congo army and Rwandan army "inform the public of the arrest of deposed general Laurent Nkunda Thursday at 10:30 pm while fleeing in Rwandan territory after putting up brief resistance," said the statement.
DR Congo and Rwandan troops advanced Thursday on Nkunda's headquarters at Bunangana in the Nord-Kivu region of the east of the country.
Rwanda sent thousands of troops into Congo Tuesday as part of a joint agreement to eradicate Rwandan Hutu rebels based across the border and quench a revolt by Tutsis against Kinshasa.
Nkunda, a Tutsi ex-general, had been silent since top commanders of his National Congress for the Defence of the People (CNDP) movement defected and went over to Congolese forces last week, saying their conflict with Kinshasa was over.

Thursday, January 22, 2009

Waasisi wakiutilia sahini muungano:
Suala la matatizo yaliyomo kwenye muungano linawakera wengi na kama tutaendelea kuliburuza na kulionea haya, basi hatimaye litatuangusha. Matatizo yaliyomo ambayo ni ya kweli na ya wazi yanabidi yashughulikiwe katika kipindi cha miaka mitano ijayo na si zaidi ya hapo.
Kuwa na wizara inayoshughulikia mambo ya muungano, linaweza kuwa ni jambo zuri lakini vile vile linanipa hisia ya kwamba tunajiburuza. Haya ni maoni yangu ambayo pengine yanaweza yasiwe sahihi...naomba wanaolijua suala hili vizuri wanisaidie!!
Hivi ni kwa nini katika nchi zetu nyingi za Kiafrika mtutu wa bunduki ndio njia pekee ya kujinyakulia utawala? Ni lini Congo na kwengineko watatulia na kuweka silaha chini na badala yake kushika majembe?

Wednesday, January 21, 2009

Wajumbe wa mkutano ulioanzisha chama cha TANU tarehe 7/7/1954 na baadae mwaka 1977 kikaunganishwa na Afro Shiraz Party na CCM kuzaliwa. Kama sikosei CCM ni moja ya vyama vya kisiasa barani Afrika ambacho kimekuwa madarakani kwa kipindi kirefu.
Wadau, ningependa kuuliza swali: Hivi, chama kikiwa madarakani kwa kipindi kirefu kama kilivyo CCM, je! sera za chama hicho tawala zinasaidia kuleta maendeleo au kuyadumaza?

Tuesday, January 20, 2009

Mwanadada akibarizi kando kando ya maji Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa wale waishio sehemu za pwani, upepo utokao baharini usaidia sana kupoza mwili wakati wa kipindi hiki cha joto kali.


Dunia nzima leo ilisheherekea kumuona Rais Obama akiapiswa, na majirani zetu wa Kenya walikuwa na kila sababu ya kusheherekea siku ya leo...Obama! Obama! Obama!