Thursday, January 29, 2009


Baada ya wakuu wa SADC kukutana huko Afrika ya Kusini hivi majuzi ili kujaribu tena kutaka kufikia muafaka kuhusu kuchangia madaraka nchini Zimbabwe, nasikia eti hakukuwa na mafanikio na Jongwe bado ni Jongwe. Maoni ya walio wengi ni kwamba hawa ndugu zetu wa Afrika ya Kusini huenda ikawa ndio wanaompa kichwa ngumu huyu mzee. Tazama Rais Kgalema Motlanthe na mwenzake walivyoshikana mikono...

No comments:

Post a Comment