Thursday, January 29, 2009

Mchezaji nyota wa zamani wa Argentina, Diego Maradona, ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya nchi hiyo akionyesha umaarufu wake katika kulisakata kandanda wakati wa kampeni mojawapo ya kutaka Rais Hugo Chavez wa Venezuela aendelee kugombea Urais hata kama kipindi chake kimekwisha.

No comments:

Post a Comment