Monday, May 31, 2010


Mandela
Mzee wetu Mandela alipokuwa akitumikia kifungo kwa ajili ya Waafrika wenzake!
Lazima tuwape heshima sana hawa wazee wetu kwani hata ndoto zetu za kombe la mpira la Dunia kuchezewa Afrika kunatokana na jitihada zao. Asante sana Mandela, Nyerere, Kaunda, Nnkruma, Naser, Kenyata...


Huu ni unyama wa askari wa jeshi la Congo!

Friday, May 28, 2010

Kumbukumbu kwa wale waliopitia hapa!!!Mmoja wa mategemeo makubwa ya Afrika mwaka huu kule Afrika ya Kusini, ni kijana Samuel Eto'o na kundi lake la Cameroon.  Waafrika tuwenao bega kwa bega kwa kuwashangilia na kuwapa moyo na nguvu ili mwaka huu libaki Afrika.


Dada wa Serena, Venus Williams aja na mpya kwenye michuano ya French Open in the name of "Fashion".

Tuesday, May 25, 2010

Bwana Kichaka kumbe kwa mikono naye yumo?

UKWELI NA UWAZI!!!
Bora yeye! Wenzake wengine tunasikia tu kwa kupitia umbea wa mitaani... kwa mtazamo mwingine huu ni ujasiri na pia unatuondolea mashaka ya uongozi!
MISSING PERSON

Los Angeles Police Department

100 West 1st St Los Angeles LA 90012

May 20th 2010
DR# 10-18-12146

CAROLINE MMARY 26 years old

Female Black, Hair: Black, Eyes: Brown, Height: 5’07’, Weight: 150
LAST SEEN: Missing Person has been missing since March 2010. Mp was last seen leaving the 200 Block of W 88th Place in the city of Los Angeles and her family has not heard from her and are concerned that she is still missing. Mp is the mother of a 3 year old child.
If you have any information please contact, LAPD’s Missing Persons Unit

(213) 996-1800
 
 
Ndugu zangu,


ninaomba niwafahamishe kuwa kuna ndugu yangu kapotea anaitwa Carol Mmari, alikuwa anaishi Los Angels. Tayari mamlaka husika zimejulishwa, na tayari tangazo la kumtafuta limetolewa. Naomba mnisaidie kusambaza huu ujumbe kwa watanzania mnaowafahamu waishio hapa Marekani ili tusaidiane kumtafuta. Pamoja na ujumbe huu, naambatanisha picha pamoja na details zingine za Carol Mmari.


natanguliza shukrani.

Sunday, May 23, 2010


Pamoja na kwamba hawa ndugu zetu "Mapaparazi" wanafanya kile kinachoitwa kazi yao, lakini wakati mwingine tukubaliane ya kwamba ufuatiliaji wao unakuwa si sahihi.

Friday, May 21, 2010

Sio lazima uwe na akili nyingi kuelewa kuwa tatizo la fujo na misongamano mijini mwetu(Bongo), inatokana na tulivyoruhusu kiholela vijibasi(Daladala) kutawala mabarabara ya miji yetu kana kwamba ndio vimekuwa mkombozi wa tatizo la usafiri. Nakumbuka wakati tulipokuwa na UDA pale Dar enzi hizo, angalau hali  ilikuwa inafanana fanana na picha za hapo juu. Kulikuwa na kaustaarabu ka aina fulani. Labda pengine, tufikirie tena kuwa na mashirika kama UDA na tuondokane kabisa na hili balaa!
Kweli Mugabe aliwafikisha kubaya! siyo ajabu huyu dogo alikuwa anakwenda kununua peremende tu...
Tangazo la NIKE la Kombe la Dunia
DAR ES SALAAM LANDMARKS - THEN AND NOW!!

"Ngoja basi kwanza nikutengeneze kabla wageni wetu hawajaja"


Na hivi ndivyo ilivyokuwa jana wakati "The Obamas" walipomkaribisha raisi wa Mexico Filipe Calderon na mkewe kwenye State diner.
Wakati Juni 11 ikiwa inakaribia, kila washiriki wa Kombe la Dunia 2010 wako kwenye maandalizi makali ili kuhakikisha kombe wanachukua wao. Pichani kikosi timu ya taifa ya Ufarasa wakiongozwa na P. Henry wanaonekana wakila tizi la nguvu.

Thursday, May 20, 2010PELE
Mchawi wa soka enzi hizo "Pele",  alizijulia sana kuzipiga hizi ndude na aliweza kuwaliza makipa wengi enzi hizo.