Friday, September 6, 2013

PICHA ZA KANGA MOJA LAKI SI PESA...NI ZAIDI YA AIBU


KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji......
!! kitu ndembe ndembe....!!
kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa
milioni pocketman...!!
Ndembe ndembe khaaa! kweli laki si pesa
Ile laki si pesa balaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa, 
Hapo wanafanya mapenzi live japo hawajavua.....Iko haja ya kuwakataza watoto kushiriki show kama hizi....kwani hazina Maadili Kabisa...
Huyu hata chupi hana.Ni kanga tu tena imefungwa upande mmoja.Haya madanguro ya uchi yanakera sana...
Wewe Mdakuzi unasemaje kuhusu Style hii ya Kanga Moko ? Je kuna Ulazima Serekali kuingilia kati ?

No comments:

Post a Comment