Saturday, February 28, 2009

Wakati umefika sasa kwa Waafrika kutokuendelea kuwaonea haya viongozi mafisadi ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwanyima haki halali za watu wa bara hili. Kwa miaka mingi tumekuwa tukipokea mapesa mengi ya misaada kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu lakini badala yake mapesa hayo yamekuwa yakiwatarijisha wachache tuliowaamini kuwaweka kwenye uongozi.


Yanayoendelea Malawi si mageni kwa nchi zetu nyingi barani humu, na Tanzania ikiwa ni mojawapo. Baba wa Taifa letu aliipigia sana kelele rushwa kwa kusema kuwa "RUSHWA NI ADUI WA HAKI", na kutoa au kupokea rushwa ni kosa moja kubwa sana. Sasa iweje bado tuna watu ambao tunajua hawakututendea haki wanacheka na sisi kila siku na sheria zimekaa kimya? Kama kuna tuhuma juu yako basi inapasa tuhuma hizo zijibiwe kisheria. Tukumbuke ya kwamba "panapofuka moshi kuna moto".

Wananchi wa Tanzania wamechoka kusubiri kupata elimu bora, maji safi, huduma bora za afya, mabarabara n.k. Miaka Arobaini na Tatu ya Uhuru ingetosha kutupa vyote hivyo na si kina nanii....wachache ndio wafurahiye matunda ya uhuru.


TANZANIA BILA MAFISADI INAWEZEKANA!! ...... Mliotuibia pesa zetu mzirudishe na mnaofikiria kuiba MKOME.

Fundi Kombo.
A new book about exiled Kenyan corruption whistle blower John Githongo is considered so potentially explosive that some major book shops in Nairobi are refusing to stock it.



Author Michela Wrong's expose looks set to cause further embarrassment to Kenya's public servants amid public anger at continued allegations of high-level corruption.



The title - It's Our Turn to Eat - may evoke thoughts of sitting down to lunch or dinner for most readers around the world. But in Kenya, this simple phrase is filled with sinister meaning that symbolises the rot crippling the East African country.


For years Kenyans have referred to corruption by the euphemism "eating". In the past, Kenya's resources were known as the "national cake", to be shared among its citizens by the government. Political power was seen as an opportunity, even duty, to "eat" as much of the national cake as they could, and share with those closest to them.


'Massive looting' Perhaps this was the inspiration for the phrase that would later grace the cover of a book about Mr Githongo, the man who tried to stop the "eating" going on at the very top table. Mr Githongo is described by Wrong as "a remarkable man who did something quite astounding".




A former adviser to President Mwai Kibaki, Mr Githongo fled to the UK in 2005 claiming that his life was in danger after accusing top government officials of "massive looting". A former journalist and the founding director of Transparency International-Kenya, Mr Githongo had earned himself a stellar reputation in the fight against corruption.



When he was appointed, many in the country believed he was the only man who could fight the deadly scourge. Instead, he faced decisions with huge personal consequences. And he was called a traitor and coward by the officials who had put him in that awkward position in the first place.

Friday, February 27, 2009

Rais wa zamani wa Malawi Bakili Muluzi pichani juu (katika picha ya mwaka 2002), anatarajiwa kushitakiwa kwa mashitaka 86 ya madai ya wizi wa Dola Millioni 12 za pesa ya misaada kwa ajili ya nchi yake wakati akiwa madarakani. Sakata hili siajabu likamletea utata mkubwa kuhusu mpango wake wa kuwania tena Urais katika uchaguzi unaokuja wa mwezi wa Tano mwaka huu.

There is a dangerous virus being passed around electronically, orally, and By hand.


This virus is called Worm-Overload-Recreational-Killer (WORK).


If you receive WORK from any of your colleagues, your boss, or anyone else Via any means DO NOT TOUCH IT.


This virus will wipe out your private life Completely.

If you should come into contact with WORK put your jacket on and take two Good friends to the nearest grocery store. Purchase the antidote known as Work-Isolating-Neutralizer-Extract (WINE) or Bothersome-Employer-Elimination-Rebooter (BEER).


Take the antidote Repeatedly until WORK has been completely eliminated from your system.


You should read this message and forward this warning to your friends.


If you do not have them, you have already been infected and WORK is controlling your life.

Run and see a Grocery Doctor hahahahahahahaha uuuuuuh

Thursday, February 26, 2009











Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Bam Ki-Moon, amewasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini Tanzania. Pichani linaonekana dege lililomleta, na watanzania waliojitokeza kumpokea na baadae kukwagua gwaride la heshima akiwa na Waziri Membe. Vile vile alifanya mazungumzo na mwenyeji wake( Rais Kikwete) pale Ikulu.














Jinsi gani Madaladala yalivyotawala mabarabara Jijini Dar es Salaam!!




Hii kali.


We need to invest more in education, and if possible, we should revert to the adult education scheme as in the late '70s,and early '80s.


There was this case in Kenyatta National Hospital Intensive Care ward where patients always died in the same bed on Sunday morning at 11am, regardless of their medical condition.This puzzled the doctors and some even thought that it had something to do with the supernatural no one could solve the mystery.... as to why people died at 11.am So a world-wide expert team was constituted and they decided to go down to the ward to investigate the cause of the incidents.


So on the next Sunday morning few minutes before 11am, all doctors and nurses nervously wait outside the ward to see for themselves what the terrible phenomenon was all about. Some were holding wooden crosses, prayer, books and their Objects to ward off the evil.....Just when the clock struck11.....Guess what happened...... Mukhobero Wepukhulu, the part-time Sunday sweeper entered the ward and unplugged the life support system so that he could use the socket for the vacuum cleaner.


If you think education is expensive, try ignorance

Na: Matina Nkurlu

Vodacom Tanzania yasherehekea Foundation Day


Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania jana imesherehekea siku maalumu ya mfuko huo wa kusaidia jamii ( Vodacom Foundation) katika kusherehekea siku hiyo, Mfuko huo wa Vodacom umezikabidhi hospitali za wilaya za mkoa wa Dar es Salaam msaada wa vitanda maalum kwa akina mama wajawazito vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40.
Msaada huo ulikabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Bw. Dietof Mare kwa Waganga Wakuu wa hospitali hizo.
Baadhi wa waganga hao waliipongeza Vodacom kwa msaada huo kwani utasaidia kuboresha utoaji wa huduma katika hospitali zao.
Hospitali zilizofaidika kwa msaada huo ni Amana (Ilala) ,Temeke na Mwananyamala (Kinondoni) .
Sanjari na utoaji wa msaada huo kwa mkoa wa Dar es Salaam, Vodacom ilitoa misaada ya aina hiyo katika hospitali za serikali katika mikoa ya Kigoma,Iringa,Kagera na Tanga kupitia kwa wawakilishi wake waliko mikoani.
Waganga hao walisema msaada huo ni uthibitisho wa ushirikiano imara baina ya Vodacom na sekta ya afya hapa nchini na kwamba ushirikiano huo umekuwa ukiimarika kadri muda unavyokwenda.
Walisema serikali mara nyingi imekuwa ikiiomba sekta binafsi kushiriki katika kuboresha mazingira ya upatikanaji wa huduma bora za afya hapa nchini, hivyo basi ushiriki wa Vodacom ni sehemu ya mchango wa sekta binafsi kwa maendeleo ya jamii.
"Tumefarijika sana kuwaona Vodacom wanashirikiana katika sekta hii muhimu ya maendeleo ya jamii," walisema.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietof Mare, alisema Vodacom Tanzania kupitia mfuko wake itaendelea kuiunga mkono serikali katika kuboresha sekta ya afya hapa nchini.
Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom Peter Correia(katikati) akimkabidhi Mganga mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Suleiman Mutani (kulia) moja ya vitanda vilivyotolewa na Vodacom Foundation vyenye thamani ya shilingi milioni 40 katika kusherehekea siku yao,(kushoto)Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba.

Mkuu wa uendeshaji wa kampuni ya simu za mkononi Vodacom Peter Correia akimkabidhi Bi Mariam Hamidu aliyelazwa katika hospitali ya Mwananyamala moja ya zawadi zilizotolewa kwa wagonjwa wakati wa kusherehekea siku ya vodacom foundation ambapo walikabidhi msada wa Vitanda kwa Hospitali za mkoa wa Dar es Salaam,Temeke,Amana,Mwananyamala vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40.


Mfanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom akiwa amembeba mototo mchanga katika hospitali ya Temeke mara baada ya kutoa msaada wa vitanda na mashuka yaliyotolewa na vodacom Foundation yenye thamani ya shilingi milioni 40.

Wednesday, February 25, 2009

DID YOU KNOW......SOME INTERESTING FACTS?

A Zebra is white with black stripes.

All the palnets in our solar system rotate anticlockwise, except Venus. It is the only planet that rotates clockwise.

Insects do not make noises with their voices. The noise of bees, mosquitoes and other buzzing insects is caused by rapidly moving their wings.
The cockroach is the fastest animal on 6 legs covering a meter a second.
The word "listen" contains the same letters as the word "silent".
The only 2 animals that can see behind itself without turning it's head are the rabbit and the parrot.

India invented the Number System. Zero was invented by Aryabhatta.
A Hippopotamus can run faster than a man.

India never invaded any country in her last 10000 years of history.
Hippopotomonstrosesquippedaliophobia is the fear of long words.

Didaskaleinophobia is the fear of going to school.
Phobatrivaphobia is a fear of trivia about phobias!!

It si impossible to lick your elbow. (I know you gonna try this !!!)
A snail can sleep for 3 years.
The names of the continents all end with the same letter with which they start.

"Almost" is the longest word in the English language with all the letters in alphabetical order.

Twenty-Four-Karat Gold is not pure gold since there is a small amount of copper in it. Absolutely pure gold is so soft that it can be molded with the hands.

Electricity doesn't move through a wire but through a field around the wire.

55 per cent of people yawn within 5 minutes of seeing someone else yawn. Reading about yawning makes most people yawn. Hello, zzzzz zzzz?
TIGER IS BACK!!
Yule mchezaji maarufu wa mchezo wa mpira wa Golf, Tiger Woods amerejea baada ya kuwa nje ya mchezo huo kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na kuumia.
Leo wakali wa Zambia na Senegal walichuana vikali katika mechi zinazoendelea za African Nations Football Championships katika uwanja wa Felix Houphonet Boigny na kutoka 0-0. Pichani Sdy Ndiaye(kushoto) wa Senegal na Given Singuluna wa Zambia wakiwania mpira.

Makasi Kigi akimpiga chenga Jacques Alain Tanoh wa Ivory Coast katika mechi ya jana, ambapo tuliwaadhibu wenyeji kwa kipigo cha bao 1-0.

Katika mechi iliyochezwa tarehe 22 Februari 2009 ambako Wasenegali walitulamba 1-0, Geoffrey Namwandu anaonekana akipambana vikali na Mamadou Traore ambae ndie alikuwa mfungaji wa bao hilo.


Maisha ya watoto wetu wengi vijijini bado yako nyuma sana. Wengi wa watoto hawa bado hutumiwa kwenye shughuli nyingi za kila siku kama vile biashara, uchotaji wa maji n.k. Uwezakano wa watoto hawa kujikomboa kwa maisha ya baadae ni mgumu sana, hasa ukizingatia ya kwamba hawana msingi mzuri wa elimu. Wengi wao uishia mijini na ndio wengi tunaowaona wakibabaisha maisha mijini. Asilimia kubwa ya Watanzania bado inaishi vijijini na katika hali ya dhiki. Taifa letu kamwe halitaendelea kama hakutakuwa na uboreshaji wa hali ya maisha ya Watanzania vijijini na elimu lazima iwe mkazo wa kwanza.

MAMBO YANAYOTUFANYA TUWE WASWAHILI...

1. Unamwita mtu usiyemjua(wala kukutana nae kabla) aunt au uncle ama shemeji.
2. Asilimia 90 ya CD pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki.
3. Stoo yako imejaa vitu(makorokoro) kwa kuwa hutupi kwa kuamini kuwa ipo siku utayahitaji.

4. Una machupa matupu ya maji, shampoo, perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka tuu wala huna shughuli navyo.

5. Watoto wako wote wana majina ya utani, mfano babu ali, Chidi, Dida, n.k.

6. Mifuko yako imejaa vitu kama vile vijiti vya kusafishia meno, tissue n.k. ulivyochukua sehemu kama vile mgahawani.

7. Rafiki yako anapokuwa na mgogoro na mpenzi wake unatamani kisiri-siri waachane ili umchukulie shemeji yako, japo unajidai kuwapatanisha kwa bidii sana.

8. Hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu(mfano- usiku sana) na mara nyingine huwa una beep tu.
9. Wakati ukusafiri japo una naulu kamili unatamani konda asahau kukudai ama umlipe pungufu ya nauli ya kawaida.
10. Unapomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule.
11. Ualikwapo kwenye sherehe au mkutano hufika baada ya muda ulopangwa kupita, na waweza zidisha hata masaa mawili mbele au zaidi.
12.Unapokuwa kwenye sherehe hutaki kuchukuliwa video.

Tuesday, February 24, 2009

WASHINGTON – Standing before the nation on a "day of reckoning," President Barack Obama summoned politicians and public alike Tuesday night to forge a path out of the worst economic disaster in a quarter-century by embracing shared sacrifice and costly new endeavors to improve health care, schools and the environment.
"The time to take charge of our future is here," Obama declared in his first address to a joint session of Congress, watched by millions of worried Americans on television and the Internet.
Adding words of reassurance, he said, "Tonight I want every American to know this: We will rebuild, we will recover, and the United States of America will emerge stronger than before."
Obama had to wade his way into a chamber packed with lawmakers eager to welcome the nation's first black president into a Capitol built by slaves. The House gallery included a special section hosted by first lady Michelle Obama, where guests served as living symbols of the president's goals. Cramming the floor was virtually the entire leadership of the federal government, including Supreme Court justices, led by Ruth Bader Ginsberg, back on the bench only this week after cancer surgery, and all but one Cabinet member, held away in case disaster struck. Obama's 52-minute speech was interrupted 61 times by applause.
To deal with the current economic crisis, deepening each day, the president said more money would be needed to rescue troubled banks beyond the $700 billion already committed last year. He said he knows that bailout billions for banks are unpopular — "I promise you, I get it," he said — but he also insisted it was the only way to get credit moving again to households and businesses, the lifeblood of the American economy.
Along with aid for banks, he also called on Congress to move quickly on legislation to overhaul regulations on the nation's financial markets.

AN ILLITERATE WOMAN BOARDED A PLANE FROM ENUGU TO ABUJA IN NIGERIA:
She was booked for an economy class seat... Just after the plane took-off, the woman stood up and went to sit in the first class cabin.

The flight attendant went to ask her to go back and sit in economy class because that's where the ticket allowed her to sit but she refused. She had paid and wanted the best seat.

Then the attendant informed the Jnr. pilot. The Jnr. pilot went and spoke with the lady and she still refused. Then the Jnr. pilot went to inform the chief pilot.
The chief pilot said, I am married to an illiterate, I'll go and talk to her. The chief pilot went and whispered some words to the woman and she peacefully stood-up and went to her economy class seat.

The attendant and Jnr. pilot surprisingly asked, sir what did you tell her? The chief pilot said: Easy guys, I just told her that first class is not going to Abuja, only economy class is!!!
Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiongea jana na vyombo vya habari juu ya Vodacom Foundation itakavyosherehekea siku maalumu tarehe 26 mwezi huu na kutoa misaada ya vyombo vya afya katika hospitali mbalimbali hapa nchini.Na sherehe hizo zitasherehekewa duniani pote.(kulia)Manager wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule,(kushoto)Afisa wa Vodacom Foundation Linda Mwakalyelye

Monday, February 23, 2009

Mikungu ya ndizi za aina mbali mbali.






Waafrika wote tunastahili kumpa mkono wa pongezi Rais Paul Kagame wa Rwanda kwa jitihada zake nchini Rwanda katika kusimamia vizuri maendeleo na amani nchini mwake. Ikumbukwe ya kwamba yale yaliyotokea nchini humo katika miaka ya tisini hayakuwa madogo hata kidogo, lakini kutokana na uongozi bora wa Rais Kagame, ndugu zetu wa Rwanda waliyaweka yote nyuma yao na kwa kipindi kifupi wameweza kupiga hatua kubwa sana. Ni mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wengine barani Afrika.

Mchezaji wa kiungo wa Liverpool(Bwawa la Maini), Javier Mascherano na mlinzi wa timu ya Manchester City, Wayne Bridge wanaonekana wakiwania mpira katika mechi ya jana.




Hosts Ivory Coast slumped to a shock 3-0 defeat to Zambia in Abidjan Sunday as the first African Nations Championship got off to a dramatic start.
The striker who destroyed Ivorian dreams of a winning start in Group A before a packed 35,000 crowd at Felix Houphouet-Boigny Stadium almost missed the competition for African footballers playing in their land of birth.
Hat-trick hero Given Singuluma only returned to Zambia in midweek from Finland where he had successful trials with FC Haka, who he is set to join following the two-week tournament.
The Finnish offer of a three-year contract comes after Singuluma was forced to rejoin Zambian club Zanaco having been freed by South African Premiership strugglers Bay United.
Singuluma put Zambia ahead after 35 minutes in the Ivorian commercial capital, added a crucial second early in the second half and completed the rout four minutes from full-time.
Had the Zambians not squandered several clearcut chances the winning margin would have been even wider before a crowd that included heads of state from Ivory Coast, Benin, Burkina Faso and Togo.
Defeat was a stunning early blow for Ivory Coast - joint top seeds with Group B favourites Ghana - whose coach Georges Kouadio boasted that home support would steer them all the way to the title.
Now he must speedily revive his squad for a clash with Tanzania or face a humiliating opening round exit from the first major football event staged by Ivory Coast since the 1984 African Nations Cup.
France-born Zambia coach Herve Renard ignored the pre-tournament war of words as he cursed his luck at having to face Ivory Coast without captain and defensive rock Elijah Tana.
The oldest member of the Zambian squad turns 34 next Saturday and instead of flying to west Africa with the national team, went to Angola and signed for a club there.
Renard also had to do without the youngest footballer among the 23 he chose, 15-year-old defender Emmanuel Mbola, who was finalising a deal with Armenian club Pyunik Yerevan.
Senegal edged Tanzania 1-0 at the same venue in the second part of a double-header and they face Zambia in a top-of-the-table clash at the same stadium Wednesday followed by Ivory Coast against the east Africans

Picha juu, mwanadada Venus Williams akifurahia kombe lake la ushindi la WTA Dubai Tennis Championships siku ya Jumamosi alipomshinda Mfaransa Virginia Razzano kwenye fainali. Na picha ya chini anaonekana akifanya moja ya vitu vyake.

Simu mpya ya Blackberry inayoitwa Bold iko kwenye soko la simu kwa sasa kwa kupitia kampuni ya AT&T. Mambo yake ni mswano zaidi kuliko ile ya Curve.

Sunday, February 22, 2009


Huyu ndiye yule baba (mtoto) mwenye umri wa miaka 13, Alfie Patten, wakiwa pamoja na mama mtoto wake Chantelle Steadman mwenye miaka 15, na mtoto wao Maisie Roxanne.

Friday, February 20, 2009

Tiketi za kuangalia Kombe la Dunia zimeanza kuuzwa Ijumaa na wakati huo huo ujenzi na matayarisho ya mashindano hayo makubwa ya mpira wa miguu Duniani bado yanaendelea. Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya kwanza kwa nchi ya Kiafrika kupewa heshima ya kuyaandaa mashindano haya, hivyo ni muhimu kwa nchi zitakazoshiriki toka Afrika kuwakilisha vizuri na kuliacha kombe Barani Afrika.

The first African Nations Championship tournament kicks off on Sunday in Ivory Coast with the hosts and Ghana the likeliest winners.
Unlike its 'big brother', the biennial African Nations Cup, this two-week gathering of eight countries is restricted to footballers who play in their country of birth.
African Football Confederation (CAF) president Issa Hayatou says the latest addition to the continental calendar is designed to showcase the abilities of stars who stay at home, and boost national leagues.
And although Europe-based stars like Emmanuel Adebayor, Didier Drogba, Michael Essien, Samuel Eto'o and Amr Zaki will be absent, the 16 games in Abidjan and Bouake have generated considerable interest among Ivorians.
It will be the first CAF competition staged by the cocoa-producing west African state since the 1984 Nations Cup which signalled the emergence of Cameroon as an African force.
Cameroon failed to qualify for the Nations Championship after losing home and away to the Democratic Republic of Congo in the final elimination phase, and six of the other top 10 ranked countries also missed out.
Nigeria, Morocco, Guinea, Mali and Tunisia were casualties of the regional qualifying process and Nations Cup title holders Egypt withdrew to concentrate on getting to the 2010 World Cup in South Africa.
That leaves Ivory Coast, Ghana and Senegal from the 'elite' at the Nations Championship with DR Congo, Libya, Tanzania, Zambia and Zimbabwe completing the line-up.
With the Congolese, Libyans, Senegalese, Tanzanians and Zimbabweans failing to make the final qualifying phase of the 2010 World Cup-African Nations Cup, Ivory Coast offers hope of some consolation.
The Ivorians will hope for better luck than when they hosted the then eight-team Nations Cup as losses to Egypt and Cameroon condemned the 'Elephants' to a first-round exit.
Abidjan-based Group A seeds Ivory Coast warmed up with home victories over Burkina Faso (3-0) and Equatorial Guinea (2-0) and Charles Dje Bi Trazie and Jacques Tano displayed consistency by scoring in both.
While playing at home offers an advantage to a squad including four players each from Abidjan giants ASEC Mimosas and Africa Sports, choosing which team is likely to accompany them into the semi-finals is difficult.
The intensive East and Central Africa Senior Challenge Cup in Uganda last month boosted the preparations of Tanzania and Zambia while Senegal faced Oman, Gambia, Cape Verde Islands and Libya in pre-tournament friendlies.
Group B in the northern city of Bouake is similar as Ghana, who eliminated Togo and Nigeria en route to Abidjan, are the obvious favourites with a squad that includes Rahim Ayew, eldest son of legend Abedi 'Pele' Ayew.
Who joins them? Libya should be strong on teamwork given 13 of the squad hail from champions Al-Ittihad, DR Congo are traditionally ill prepared but talented, and Zimbabwe have been hit by the loss of stars on trial abroad.
The opening match on Sunday afternoon at a renovated Felix Houphouet-Boigny Stadium features Ivory Coast and Zambia followed three hours later by Tanzania and Senegal at the same venue
Madada Serena na Venus Williams wanaonekana wakipongezana baada ya mchuano wao wa kuwania (WTA Dubai Tennis Championship) siku ya Ijumaa ambapo Venus alimshinda mdogo wake katika mchuano huo wa nusu fainali.

Katika safari yake ya kwanza nje ya Marekani baada ya kuingia madarakani, Rais Obama anaonekana akiwa anasalimiana na Waziri Mkuu wa Canada Bwana Steven Harper Jijini Ottawa wiki hii.

Thursday, February 19, 2009

ZIMBABWE PAYS WORKERS IN USD
HARARE (AFP) – Zimbabwe's new government took its first step towards rebuilding the shattered nation Wednesday, honouring a pledge to civil servants by paying them in US dollars to counter the impact of hyperinflation.
"We will pay every civil servant in foreign currency," Finance Minister Tendai Biti told a news conference in Harare.
The armed forces had been paid on Tuesday, he said.
He did not say how Zimbabwe, which is grappling with the effects of the world's highest rate of inflation, will source the forex.
Biti, the number two of the Movement for Democratic Change (MDC) which joined a national unity government last week, said the move was an attempt to pay the country's 130,000 civil servants a decent wage.
Since last year, civil servants such as teachers, nurses and doctors have downed tools demanding that they paid in hard currency.
"We have to get Zimbabwe working again; getting teachers to school is part of efforts to get Zimbabwe to work again, having examination papers being marked is part of having Zimbabwe work again," Biti said.
Soldiers were paid a 100 dollar (79 euros) allowance -- worth more than current salaries -- this week and payments to workers in other public sectors in the crisis-hit country will follow.
"Today it's the teachers and the rest tomorrow," Biti said, with the new government having to "juggle" resources to make the payments.
Zimbabwe's political and economic crises have reduced the local currency Zimdollar, once on a par with the British pound, to almost nothing, forcing Zimbabweans to pay trillions of local dollars just for a loaf of bread.
The central bank earlier this month knocked 12 zeros off the local currency -- reducing one trillion dollars to one dollar -- in an effort to get the unit back on track to normality.
Last week Wednesday, shortly after his inauguration as prime minister, Morgan Tsvangirai announced that civil servants would be paid in foreign currency and appealed for them to return to work.
Tsvangirai explained that the foreign currency payment will enable people to go to work, to feed their families and to survive.

Wednesday, February 18, 2009

Kivutio kimojawapo cha Jiji la New York ni Rockefeller Plaza pale Manhattan ambako kuna hili sanamu la rangi ya Dhahabu na sehemu kubwa ya kuteleza kwenye barafu wakati wa kipindi cha baridi. Vile vile kuna migahawa na sehemu nzuri za kujipumzisha kwa matembezi na familia.

Michango ya Kumsafirisha Marehemu Pendo Magalunda
Michango ya hali na mali inaombwa ili kuweza kulipia gharama zifuatazo:
(1) tiketi ya kurejea nyumbani Tanzania, Mama Mlezi wa Marehemu
(2) gharama za kusafirisha personal effects za Marehemu
(3) gharama za funeral home kwa siku mbili hapa New York wakati wa kusubiri safari.

Unaweza kutuma Mchango wako kupitia
HSBC BANK routing
No:022000020.
ACCOUNT NO: 526410230 yenye jina la
MAGOBE MAGALUDA NA PENDO MAGALUDA.

Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na Bwana Abel Magaluda (Mume wa Marehemu) simu namba 1 347 238 9250, pia wafuatao:
Mr. Amos Shindika TEL -1 203 300 4122 na
Mr. William Malecela TEL-1 914 664 1518.


Tunaomba tushirikiane na familia ya Bwana Abel Magaluda katika kipindi hiki kigumu.


Tafadhali watangazie na Watanzania wengine.

Huyu Mganga anatibu kila kitu....

Mchungaji Mbeya abambwa na viungo vya albino

POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu wawili wakazi wa Kijiji cha Idweli, Kata ya Iyula, wilayani Mbozi, akiwemo mchungaji wa Kanisa la Pentekoste kwa tuhuma za kupatikana na viungo vya albino ambavyo vilikuwa vikiuzwa kwa Sh 30 milioni.Tukio hilo linalomhusisha mchungaji, limekuja wakati nchi ikiwa katika kampeni ya kupambana na ukatili dhidi ya maalbino, ambayo hupewa msukumo pia na viongozi wa dini mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Zelothe Stephen alisema mtuhumiwa mwingine ni mkulima wilayani Mbozi.Kamanda huyo alisema kukamatwa kwa watuhumiwa kulikuja wakati wakihaha kusaka wateja katika maeneo ya soko la Mwanjelwa jijini Mbeya.Kwa mujibu wa Kamanda Stephen, watuhumiwa walipofika katika soko hilo Februari 16 , walidai walikuwa wakiuza viungo vya kunguru mweupe. Zelothe alisema kutokana na taarifa walizopata kutoka kwa raia wema, polisi waliweka mtego na kuwanasa baada ya kupatana kuuziana viungo hivyo katika mji wa Mlowo, wilayani Mbozi ambako kachero mmoja alifika Februari 16, kukamilisha mpango huo.Alisema baada ya makubaliano ya kiasi cha Sh 30 milioni kushindikana na kuahidiwa kukamilisha fedha hizo siku inayofuata (Februari 17), kachero huyo alifika na kiasi hicho cha fedha na kupeleka nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa na kukabidhiwa vipande vinne vya viungo hivyo, vikiwemo viganja vilivyohifadhiwa katika magazeti mawili tofauti.Kamanda Stephen alisema baada ya kumkabidhi viungo hivyo, watuhumiwa walikamatwa na walipopekua nyumbani kwa mmoja wao, walikuta dawa aina mbalimbali na maji ya kuchanganyia dawa hizo.

Tuesday, February 17, 2009


DENVER – Racing to reverse the country's economic spiral, President Barack Obama signed the mammoth stimulus package into law Tuesday and readied a new $50 billion foreclosure rescue for legions of Americans who are in danger of losing their homes.
There was no recovery yet for beleaguered automakers, who were back in Washington for more bailout billions. General Motors Corp. said it was closing plants, Chrysler LLC said it was cutting vehicle models and both said they were getting rid of thousands more jobs as they made their restructuring cases for $5 billion more for Chrysler and as much as $16.6 billion more for GM. The United Auto Workers union said it had agreed to tentative concessions that could help Detroit's struggling Big Three.
Anything but reassured, Wall Street dove ever lower. The Dow Jones industrials fell 297.81 points, closing less than a point above their lowest level in five and a half years.
Obama focused on the $787 billion stimulus plan, an ambitious package of federal spending and tax cuts designed to revive the economy and save millions of jobs. Most wage-earners will soon see the first paycheck evidence of tax breaks that will total $400 for individuals and $800 for couples.
The stimulus package was a huge victory for Obama less than one month into his presidency. But he struck a sober tone and lowered expectations for an immediate turnaround in the severe recession that is well into its second year.
"None of this will be easy," he said. "The road to recovery will not be straight. We will make progress, and there may be some slippage along the way."
Still, he declared, "We have begun the essential work of keeping the American dream alive in our time."



Kweli maisha yamebadilika!!
Zamani kwenye miaka ya sitini mpaka kufikia katikati ya miaka ya themanini noti ya Shilingi Mia Moja ndiyo ilikuwa yenyewe(ukiwa na Wamasai wawili - wikiendi safi), lakini sasa hivi lazima uwe na noti za Elfu Kumi kama sita hivi(na kwa kujibana bana), la sivyo mambo wasi wasi.


Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Abbas Kandoro akitoa fedha zake ndani ya gari la Exim Bank linalozungukia wateja wake katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kutoa huduma za kibenki.

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiliangalia gari maalum la benki ya Exim
linalotoa huduma za kibenki, (Exim bank mobile van), linalozunguuka sehemu mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam kwa madhumuni hayo hapo ikiwa ni kwenye kituo cha daladala cha Magomeni Polisi jijini humo juzi.
The first bank to establish mobile ATMs in the Tanzania

By Matina Nkurlu, Dar es Salaam

Experts say that liberalized economy brings about competition as opposed by controlled economy which is monopoly based. This is because liberalization encouraged investment locally and from foreign countries hence it is the organizations that face a stiff competition that can sail along.
The situation with the banking sector and other financial institutions is no difference. The stiff competition following the liberalization of the sector has compelled banks to be face competition and their way out is to establish services or products that would motivate their customers.
Exim Bank Tanzania Limited foresaw the importance of establishing a new product, the Mobile Automated Teller Machines (ATMs) to bring its services nearer to the customers, a factor that addresses the challenge for stiff competition.
The service is deployed by the bank at strategic points with big gatherings of people. These places are such as Kariakoo, Buguruni market place, the Ubungo Bus Terminal (UBT) and the Magomeni market place.
Others are Temeke area, the Mwalimu Julius K. Nyerere Trade Fair grounds at Saba Saba, and not forgetting other areas in Dar es Salaam having large gathering of people. It should be agreed that bringing services closer to customers is tremendous, however, precautions are inevitable.
To ensure that mobile ATM services provided by Exim bank are reliable, safe and secure appropriate vehicles are deployed equipped with among other workers, two marketing officers who assist customers get the services they need with efficiency.
Such officers also assist potential customers in their needs such as opening a new account and other services available from the bank. Apart from money withdrawal, Mobile ATM service vans can also enable a customer to know the balance of his/her account.
Apart from the Mobile ATM Service, presently the bank has 30 fixed ATMs country wide all installed at various branches and at strategic points which draw large numbers of people not necessarily near a branch.
As for a short history of the bank, Exim Bank is a locally established and privately owned commercial bank. Operations began in August 1997 as a result of the liberalization of the banking and financial sector in Tanzania. The Bank broke even within its first 5 months of operations, which is a rare occurrence in any banking sector.
Since its inception, Exim has enjoyed year to year growth in profits, assets and deposits. Exim is now ranks among the top ten Banks in Tanzania.
These excellent rates of growth have been achieved through the experience and dedication of the Board of Directors, Management and Staff of Exim Bank coupled with an unwavering focus on customer satisfaction.
Way back in August 2007, the bank celebrated its 10th anniversary, the celebrations that also marked the achievement of the bank.
In terms of the bank’s branch network, Exim Bank started its operations back in 1997 with only one branch that is Dar es Salaam main branch. Today the bank has expanded its branch network to ten fully fledged branches with plans of opening more branches.
These are; in Dar es Salaam: Dar es Salaam main, Clock Tower, Mlimani and Temeke.
Upcountry branches are: Tanga, Mtwara, Arusha, Morogoro, Mwanza and Moshi.
These branches are online connected to one another and are all operating with profits.
The good side of Exim Bank branch network is that all branches are connected by V-SAT communication system which facilitates inter-branch money transfers. Recently, Exim Bank opened a branch in Comoro, known as Exim (Comoros) Limited.
The most recently branch was opened at Namanga area and also along Nyerere Road within Dar es Salaam in the implementation of spreading its wings.
Exim was the first bank in Tanzania to migrate successfully to the Flexcube system, the most versatile banking software in the world. With Flexcube accounts information can be accessed at a touch of a button and accuracy and secured transactions are ensured. The bank is also under SWIFT map to ensure fast international fund transfers.
The primary aim at Exim Bank is to ensure that customers are satisfied with the products and services delivered. Excellence in customer service has grown to become the bank’s trademark. The dedicated Customer Service Team is always ready to help with any queries or problems that customers may have.
Ends.
Sawa na lile la kwenye jiwe, hili nalo nimelipenda sana. Ujumbe wake ni mzuri sana na unamgusa muhusika moja kwa moja.

Sunday, February 15, 2009

Madenti wakielekea nyumbani baada ya siku nzima shuleni. Bado kuna haja zaidi ya kutilia mkazo elimu kwa watoto wa kike, hasa kwenye mikoa ya Pwani ambako bado elimu kwa wasichana haitiliwi sana mkazo.



Habari magazetini!!