Thursday, February 26, 2009











Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Bam Ki-Moon, amewasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini Tanzania. Pichani linaonekana dege lililomleta, na watanzania waliojitokeza kumpokea na baadae kukwagua gwaride la heshima akiwa na Waziri Membe. Vile vile alifanya mazungumzo na mwenyeji wake( Rais Kikwete) pale Ikulu.




No comments:

Post a Comment