Friday, December 31, 2010

Boney M frontman Bobby Farrel dies


Bobby Farrell, singer and dancer with 1970's disco group Boney M, performs during a tv show in Huerth near Cologne, western Germany, in 2009. Farrell,a seventies disco icon, has died aged 61 in a Russian hotel room while on tour, his agent and investigators said.

Wednesday, December 29, 2010

...Ujuana kwa vilemba!!

Jamaa waliowasaliti kwa saluti....
ClubSerengeti & Mao Productions

New Years Eve & New Years Day Parties

Fri & Sat

@ Alamo

166 Gramatan Ave.,
Mt. Vernon, NY 10550

9pm till 4am
NO COVER CHARGE

Tuesday, December 28, 2010

Rampant Arsenal leave Chelsea in tatters



Arsenal kept the pressure on Premier League leaders Manchester United and delivered a hammer blow to Chelsea's hopes of retaining the title with a 3-1 victory over the struggling champions.

Arsene Wenger's side had repeatedly failed to produce the goods in crunch matches against their London rivals, but they finally rose to the occasion as goals from Alex Song, Cesc Fabregas and Theo Walcott gave them a vital victory at the Emirates Stadium.

Branislav Ivanovic got one back for Chelsea but the damage had already been done and Blues boss Carlo Ancelotti could face a fight to save his job after his team's sixth league game without a win.

Arsenal's triumph - their first in 12 games against Chelsea and United - lifted them back into second place and within two points of the leaders.

In contrast, Chelsea's title hopes are close to being extinguished. They are six points behind United, who have a game in hand, and even a place in the top four can't be taken for granted on this woeful form.

Although Ancelotti's team had taken just six points from their last seven matches, the club's worst run since 1998, they should have been able to draw inspiration from their dominance over Arsenal in recent years.

Didier Drogba threatened early on when he latched onto Frank Lampard's pass and smashed his shot just wide.

The Gunners looked hamstrung by nerves during a tame 1-0 defeat against United in their last match and Wenger knew they needed a more dynamic performance this time.

Wenger's players rose to the challenge in impressive fashion and controlled possession right from the start.

Samir Nasri brought Chelsea goalkeeper Petr Cech into action for the first time with a long-range free-kick.

Wenger's side kept probing and Robin van Persie blazed over before Cech plunged at Walcott's feet to block the winger's shot.

It took an even better save from Cech to keep Chelsea on level terms when he stretched every sinew to tip over Nasri's deft chip.

Arsenal's pressure finally told in the 44th minute as Song surged into the penalty area after playing a one-two with Jack Wilshere.

The ball broke towards Fabregas and, as the Arsenal captain collided with Paulo Ferreira, Cameroon midfielder Song seized his chance and drove a low shot past Cech.

Lampard's presence in the Chelsea starting line-up for the first time in four months after hernia and groin injuries was supposed to inspire the Blues, but the England midfielder was well off the pace.

If Ancelotti read the riot act at half-time, he must have been sorely disappointed with the response from his lacklustre stars.

In the space of 90 seconds, two sloppy pieces of Chelsea defending presented Arsenal with the goals that put the result beyond doubt.

First, Michael Essien's 51st minute tackle on Fabregas sent the ball into Walcott's path.

Walcott was then granted too much space by former Arsenal defender Ashley Cole and he was able to sprint clear before sliding a pass to Fabregas, who stroked his shot past Cech.

Arsenal were rampant now and, with Chelsea looking more shambolic by the second, Walcott took full advantage as he caught Florent Malouda in possession and flicked a pass to Fabregas.

The Spaniard's return ball put Walcott through on goal and he drove a fine finish into the far corner of Cech's net, prompting a furious response from Drogba, who argued with team-mate John Terry before the restart.

Even when Ivanovic reduced the deficit by heading Drogba's free-kick home in the 57th minute, there was little realistic hope of a Chelsea comeback as Arsenal cruised to their most important win of the season.



Arsenal's English striker Theo Walcott (R) vies with Chelsea's Czech goalkeeper Petr Cech during their English Premier League football match against Chelsea at the Emirates Stadium, London, on December 27, 2010

Miaka yote yeye alidhani Congo ilikuwa mali yake na itaendelea kuwa hivyo milele na milele. Sijui kwa nini kina Mugabe,  Musevenyi na wengine wanaoendelea kutaka kuwa madarakani hata kama muda umepita hawapati hili fundisho.  Nadhani ni Afrika pekee bado tuna hili tatizo la hawa watawala wasiojua demokrasia maana yake ni nini...
THE OBAMAS MAPUMZIKO HAWAII






Monday, December 27, 2010

Huyu ndiye mama aliyemzalia watoto marehemu Michael Jackson!
Mwanzilishi wa PlayBoy Hugh Hefner ambaye ana umri wa miaka 84, amemchumbia msichana Crystal Harris(kulia) ambaye ana umri wa miaka 24. Hii itakuwa ndoa nambari tatu kwa bwana Hefner.
Ipi ni bora? Fikiria bei ya mafuta, zoezi la bure na bila kusahau uchafuzi wa mazingira...

SNOW BLIZZARD HAMMERED NEW YORK AND MUCH OF THE NORTHEAST







Friday, December 24, 2010

Hivi huyu ndugu Musevenyi ni lini atasema basi kama walivyo wenzie? Jamaa anashikilia nafasi ya 19 kwa maraisi matajiri duniani lakini bado hatosheki!! Waganda inawabidi muondokane na hawa watawala waliopitwa na wakati kwani ndio kipingamizi cha maendeleo ya kweli Afrika ya Mashariki.
SIKUKU NJEMA  YA  CHRISTMAS
 KWA
 NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA WADAU WOTE
WA BLOGU HII.
MUNGU AZIDI KUWABARIKI KWA AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU ZAIDI YENYE UPENDO NA AMANI!!!

Monday, December 20, 2010

Baada ya miaka 50 ya uhuru inabidi kwa kweli tulichangamkie suala la MAJI SAFI kwa nchi yetu. Itakuwa ni aibu kubwa sana kama baada ya miaka 50 mingine hawa watoto watakuwa bado wanategemea maji kutoka kwenye vyanzo kama hiki. Wabunge wetu tunawaomba hili suala mlipigie kelele usiku na mchana mpaka lipatiwe ufumbuzi wa kweli!
Haya ya gorofa tunaiweza...!!!!

Thursday, December 16, 2010

DR. REMMY





SIKU ZOTE TUTAMKUMBUKA NDUGU YETU RAMADHANI ONGALA
 "DR. REMMY"
 KWA MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA MUZIKI WA DANSI NA JAMII KWA UJUMLA!
MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU,  AMINA.
Haya ni makazi ya Mtanzania mmojawapo na ana mbunge wake aliyempa kura. Huyu Mtanzania ana mke na watoto na hivi ndivyo maisha yao ya kila siku jinsi yalivyo...
KWELI WENYE NAZO WAWEZA KUKUFURU!!!!


Mti wa Christmas pamoja na mapambio yake ambao una dhamani ya Dola za Kimarekani Millioni 11 ukiwa ndani ya Hoteli ya Emirates Palace pale jijini Abu Dhabi.

Saturday, December 11, 2010

Bendi ya mziki wa dansi " Ngoma Africa Band" aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,inawatakia watanzania wote walio nyumbani na nje,kila la heri ya

sherehe za miaka 49 ya uhuru.

Pia inaitakia kila la heri nchi yetu Tanzania nchini ya Uongozi wake Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.

Aman,Upendo,Umoja na Mshikamano Mungu Ibariki Tanzania jipe raha at http://www.myspace.com/thengomaafrica

au www.myspace.com/thengomaafrica

www.reverbnation.com/ngomaafricaband







Wednesday, December 8, 2010


WOW!!!

Master of Ceremony...
FFU wa Ngoma Africa band kupeleka mzimu wa Dansi nchini Serbia ,January 2011

Bendi maarufu ya mziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU,wanatarijiwa kutumbuiza katika mji wa Belgrad,nchini Serbia,ulaya ya mashariki katika maonyesho ya Film and music festival yatakayoanza tarehe 5 hadi 12 January 2011.
Pia wakazi wa mji wa Montenegro watavamiwa na mziki huo wa dansi kutoka kwa ffu wa Ngoma Africa band yenye maskani yake nchini Ujerumani.
Ni juzi juzi tu wakali hawa wa mziki wa dansi na "MZIMU WA MZIKI" walikuwa wakipeperusha CD maalum "Jakaya Kikwete 2010" . Toka bendi hiyo ipelekewe mwaliko wa kwenda SERBIA ,wanamziki wa bendi hiyo wamshikwa na matumbo joto! kutokana historia ya nchi ya SERBIA ambayo miaka ya nyuma ilikuwa na vita....Pia ziara ya wakali hao Ngoma Africa band,ndio bendi ya mwanzo ya kiafrika kwenda Serbia.
Wasikilize hapa www.myspace.com/thengomaafrica pia www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band