Monday, September 27, 2010

HOMELESS
Hili ni tatizo sugu kwenye jamii ya Kimarekani haswa kwenye miji mikubwa kam vile New York, LA n.k.!


Jana siku ya Jumapili tarehe 26 Septemba, tulibahatika kutembelewa na kuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wetu, Mheshimiwa Mizengo Pinda pale Mt. Vernon katika makao ya balozi wetu wa kudumu kwenye Umoja wa Mataifa. Kwa kweli baada ya mazungumzo hayo naweza kusema ya kwamba chaguo la Mhs. Pinda kama Waziri Mkuu lilikuwa sahihi na bado anastahili kurudi tena katika awamu ijayo na pengine ni chaguo la kufikiriwa sana hapo baadaye!

Saturday, September 25, 2010

Kwa sababu tumepuuzia kilimo hivyo basi hata biadhaa zinazohusiana na kilimo kama vile Kahawa na Chai zimebaki kuishia ndani ya mipaka yetu. Soko la bidhaa hizi nje ya Tanzania ni kubwa, kinachohitajika ni kuboresha uzalishaji wa mazao haya ya kibiashara na kufanya utafiti wa kiuchumi kuhusu soko. Ingefurahisha sana kama tungekuwa tunakutana na bidhaa zetu huku nje!
Luxury Funerals

A gold-plated casket, priced at 388,000 ringgit ($125,000), is on display at the Nirvana Memorial Centre in Kuala Lumpur September 22, 2010.Friday, September 24, 2010

Namna nzuri ya ku-cycle!! Haya makata mbuga unaweza kuyatumia hata kwa miaka ishirini... ubunifu wa Mmasai!
Ndugu zangu wa Kichaga mpoo...!!!!!  Kama wasemavyo Wamachame "kuriha"!

Saturday, September 18, 2010


Mashimoni - Jijini New York!
The Ngoma Africa Band aka FFU! kama walivyozoeleka katika shughuli yao! waliacha historia ya kudumu kwa washabiki wa mziki walioudhuria katika maonyesho ALAFIA festival siku 29.08.2010 mjini Hamburg. Onyesho hilo la wazi lilifanyika katika ya kitovu cha mji wa hamburg eneo la Altona, ambako washabiki wa umri tofouti waliweza kujimwaga uwanjani wakati bendi hiyo maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya, hilipokuwa ikidatisha hakili washabiki na mdundo wao "Bongo Dansi" kupenya katika kila ghorofa na kutingisha mji huo maarufu.

Ngoma Africa Band aka FFU watatumbuiza katika onyesho lingine AFRIKA FESTIVAL, mjini Jever, uko kasikazini mwa Ujerumani.kwa sasa wanatamba na CD mpya "Jakaya Kikwete 2010" www.myspace.com/thengomaafrica

Friday, September 17, 2010

Wednesday, September 15, 2010

Gwaride la FFU wa Ngoma Africa band ndani Afrika Festival,Jever,Ujerumani siku Jumapili 19-09-2010


Bendi maarufu ya mziki wa dansi "The Ngoma Africa band" aka FFU, wanatarajiwa kutungisha jukwaa la AFRIKA Festival, litakalofanyika mjini Jever, Ujerumani ya Kasikazini.

Usikose kuwasikiliza at www.myspace.com/thengomaafrica pia unaweza kuwatupia jicho at www.facebook.com/ngomaafrica au www.twitter.com/thengomaafrica

Tuesday, September 14, 2010

Riahanna na "tatoo yake ya bastola"!
BEYONCE

Pamoja na sifa kubwa aliyonayo mwanadada huyu ya uimbaji, pia hujulikana sana kwa namna anavyobadilisha mitindo yake ya nywele mara kwa mara. Je! wewe unadhani ni mtindo upi kati ya hiyo hapo juu imempendezesha mwanadada huyu?

Wednesday, September 8, 2010

HIVI NI KWA NINI WANADAMU TUNAKUWA NA CHUKI?
HATA WANAODAI KUMWABUDU MUNGU PIA...


Rev. Terry Jones at the Dove World Outreach Center in Gainesville, Fla., Monday, Aug. 30, 2010. Jones plans to burn copies of the Quran on church groundsto mark the Sept. 11, 2001 terrorist attacks on the United States that provoked the Afghan war.

Monday, September 6, 2010
FUNDI WA KOMBO

 
YATIMIZA MIAKA MITATU!!
Septemba 7th, 2008 - Septemba 7th, 2010

Napenda kutoa shukhurani zangu za dhati kwa wanablogu wote

na jamii nzima kwa kuniunga mkono kwa kufuatilia

yanayoendelea katika blogu hii, 

 iwe ni kwa masaa, kila siku, kila wiki, kila mwezi au

angalau mara chache kwa mwaka. Bila nyie wote miaka mitatu pengine isingekuwepo.

Nawaomba tuendelee kuungana mkono kwa kuendelea kuitembelea na kuitangaza kwa jamii yote. Fundirkombo.blogspot.com

Asanteni sana!!