Saturday, September 18, 2010

The Ngoma Africa Band aka FFU! kama walivyozoeleka katika shughuli yao! waliacha historia ya kudumu kwa washabiki wa mziki walioudhuria katika maonyesho ALAFIA festival siku 29.08.2010 mjini Hamburg. Onyesho hilo la wazi lilifanyika katika ya kitovu cha mji wa hamburg eneo la Altona, ambako washabiki wa umri tofouti waliweza kujimwaga uwanjani wakati bendi hiyo maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya, hilipokuwa ikidatisha hakili washabiki na mdundo wao "Bongo Dansi" kupenya katika kila ghorofa na kutingisha mji huo maarufu.

Ngoma Africa Band aka FFU watatumbuiza katika onyesho lingine AFRIKA FESTIVAL, mjini Jever, uko kasikazini mwa Ujerumani.kwa sasa wanatamba na CD mpya "Jakaya Kikwete 2010" www.myspace.com/thengomaafrica

No comments:

Post a Comment