Monday, December 28, 2009

Before this...


He was this!

and we will never understand why...

Sikutegemea kwamba jijini Arusha nitakumbana na wapenzi wa WhiteSox baseball team!


Je! Unadhani ni kwanini mara nyingi Mwalimu Nyerere alichagua kuvaa "kibarakashia", hasa hasa wakati wa kipindi cha mwanzoni mwa uongozi wake?Saturday, December 26, 2009

Kombo alipotembelea kijijini Bukoba kwa babu na bibi mzaa mama.

Mrs. Wilhelmina K. Kamanja anapenda kuwatumia salamu za Kheri ya Mwaka mpya 2010 kwa ndugu na marafiki zake wote wapendwa popote walipo na anapenda kuwaomba tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema.

Neema na Flora wanapenda kuwatakia ndugu, jamaa na marafiki popote walipo kheri za mwaka mpya 2010 na kuwaomba tuzidi kuombeana mema na afya njema.

X-Mas day with the "Big Boy" Rute!

Thursday, December 24, 2009

Monday, December 21, 2009Je! Hii ni sanaa au ni...
Jibu linategemea mwelekeo wako katika kuitafsiri sanaa!The Ngoma Africa band !
inawatakia wadau wote
kila la heri katika sikuu ya X-Mass na furaha ya mwaka mpya 2010

Tuburudike na mziki hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica

Sunday, December 20, 2009

Sehemu za Mashariki na Kaskazini mwa Marekani siku ya Jumamosi tarehe 19 Desemba zilikumbwa na kimbunga cha upepo, barafu na baridi kali mpaka kusababisa safari za angani kuhairishwa pamoja na shunguli nyingi za kibiashara kufungwa.
Saturday, December 19, 2009

Baadhi ya wanenguaji wa "Mopao Mokozi" Koffi Olomide wakifanya vitu vyao jukwaani. Nasikia jamaa "He is a wanted man in France" kuhusiana na ubakaji wa baadhi ya wanenguaji wake walio kwenye umri kati ya miaka 15 na 17. Je! kuna ye yote mwenye habari zaidi?
Thursday, December 17, 2009