Saturday, December 19, 2009

Baadhi ya wanenguaji wa "Mopao Mokozi" Koffi Olomide wakifanya vitu vyao jukwaani. Nasikia jamaa "He is a wanted man in France" kuhusiana na ubakaji wa baadhi ya wanenguaji wake walio kwenye umri kati ya miaka 15 na 17. Je! kuna ye yote mwenye habari zaidi?