Sunday, December 20, 2009

Sehemu za Mashariki na Kaskazini mwa Marekani siku ya Jumamosi tarehe 19 Desemba zilikumbwa na kimbunga cha upepo, barafu na baridi kali mpaka kusababisa safari za angani kuhairishwa pamoja na shunguli nyingi za kibiashara kufungwa.