HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, December 28, 2009
Je! Unadhani ni kwanini mara nyingi Mwalimu Nyerere alichagua kuvaa "kibarakashia", hasa hasa wakati wa kipindi cha mwanzoni mwa uongozi wake?
A man of honor and great integrity! Fundi, Mwalimu alifahamu jinsi ya kuitawala nchi yetu, hosusani jinsi ya kuwaridhisha watanzania wa dini zote. Alitambua kwamba yeye kuvaa "kibarakashia" hakukumbadilisha chochote, isipokuwa vazi lilimuwezesha kuwa karibu na watu wengi wa mikoa ya pwani ambako ndipo palipokuwa makao makuu ya serikali. Mungu amuweke mahali pema peponi.
A man of honor and great integrity! Fundi, Mwalimu alifahamu jinsi ya kuitawala nchi yetu, hosusani jinsi ya kuwaridhisha watanzania wa dini zote. Alitambua kwamba yeye kuvaa "kibarakashia" hakukumbadilisha chochote, isipokuwa vazi lilimuwezesha kuwa karibu na watu wengi wa mikoa ya pwani ambako ndipo palipokuwa makao makuu ya serikali.
ReplyDeleteMungu amuweke mahali pema peponi.