Wednesday, December 23, 2009


Condo. Rice

2 comments:

  1. Mama Kevin (Mwamsama)December 27, 2009 at 8:10 PM

    Huu ni upumbavu sasa. Unajishushia heshima kwa kuweka picha za namna hii. Umri wako umeenda lakini inavyoonekana huna heshima. Sishangai kwa nini blogu yako haijulikani na haina mtu anayeitembelea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Najua comment hii haitatoka lakini ujumbe umefika. Jiheshimu kama unataka uheshimiwe. Baba zima na watoto lakini.............

    ReplyDelete
  2. Asante sana Mama Kevin. Naheshimu uhuru wa maoni yako hata kama sikubaliani nayo.

    ReplyDelete